Orodha yenye baadhi ya majina ya marehemu wa ajali ya MV Skagit | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Orodha yenye baadhi ya majina ya marehemu wa ajali ya MV Skagit

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MaxShimba, Jul 22, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]


  Jeshi la Polisi nchini, limetangaza orodha ya majina ya watu waliofariki katika ajali ya meli ya MV Skagit, iliyotokea juzi katika eneo la Chumbe Kisiwani Zanzibar.

  Licha ya kutaja majina hayo, idadi ya miili ambayo hadi jana imepatikana kutokana na kazi kubwa ya uokoaji inayofanywa na Vikosi vya Ulinzi na Usalama, imefikia watu 63. Kati ya watu hao, waliopatikana na idadi kwenye mabano ni pamoja na wanawake (41), wanaume (9) na watoto (12), ambapo kati yao wakiume ni (5) na wa kike (7).

  Msemaji wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Mohammed Muhina, alitaja baadhi ya majina ya marehemu waliotambuliwa kuwa ni:


  1. Mwanahamisi Mshauri Maneno (42, Kibanda Maiti, Zanzibar)
  2. Maua Ramadhan Feruzi (29, Mwembeladu)
  3. Khadija Omari Ally (58), Kilimahewa)
  4. Khadija Omar Ali (26)
  5. Mgeni Juma Khalifa (25, Daraja Bovu)
  6. Amina Ahmed Ramadhan (21, Bumbi Matola, Michenzani)
  7. Khadija Othuman Juma (50, Michenzani)
  8. Mohammed Said Salum (42, Magomeni Mikumi, Dar es Salaam)
  9. Khadija Rajab Kibune (22, Fuoni)
  10. Hussein Ally Khamis (miaka 4, Mwanakwerekwe)
  11. Nas Victor Kadozo (30 Mbagala Rangi Tatu, Dar es Salaam)
  12. Anita Emanuel (42, Kibamba, Dar es Salaam)
  13. Rukiya Issa Muombwa (miezi 2, Meli Nne Fuoni)
  14. Halima Ali Khamis (23, Mtopepo)
  15. Kolin Krispin (miezi 9, Kunduchi, Dar es Salaam)
  16. Rahma Ali Abdallah (52, Mfenesini, Zanzibar)
  17. Said Jumanne Masanja (9, Nzega, Tabora)
  18. Sauda Abdallah Omar (22, Ole, Pemba)
  19. Said Juma Said (36, Arusha)
  20. Amina Abdallah Tindwa, (miezi 6, Fuoni)
  21. Halima Ramadhani Kilimo, (53, Morogoro)
  22. Amina Hamir Bakari (39, Chukwani)
  23. Ali Hamdu Othman (35, Mkwajuni)
  24. Sabiha Heri Mbarouk (25, Mgeleme, Chakechake Pemba)
  25. Halima Ali Mohamed (35, Kiwengwa)
  26. Asia Juma Khamis (29, Kiembe Samaki)
  27. Yusuf Hassan Yusuf (7, Chamazi, Dar es Salaam)
  28. Batuli Abdulrahman Amir (20, JangÂ’ombe)
  29. Fatma Said Sultani (54, Msasani Dar es Salaam)
  30. Juma Jafari Shajak (miezi 6, Tanga)
  31. Mohamed Ali Ng'ombe (41, Buguruni, Dar es Salaam)
  32. Halima Ali Khamis (23, Mtopepo)
  33. Husna Ally Khamis (34, Bagamoyo)
  34. Kulthum Haji Khamis (25, Bagamoyo)
  35. Sichana Pandu SImai (43, Kilimahewa)
  36. Nadra Maulid Mkubwa (17, Chubuni)
  37. Mwanaidi Abdallah Ramadhani (21, Morogoro)
  38. Zubeda Jumanne Kwangaya (26, Mbeya)
  39. Idd Masoud Omar (miezi 7, Tomondo)
  40. Riziki Mohammed Iddi (25, Fuoni)
  41. Mwanaisha Khamis Haji (75, Jang'ombe)
  42. Laki Victor Kadoro (28, Mbagala)
  43. Damas Leo Mrima (54, Shangani)
  44. Halima Sharif Abdallah (21, Kigamboni)
  45. Ali Juma Ali (56, Jang'ombe)
  46. Raya Ramadhani Hasani (miezi 2, Shakani)
  47. Mwanaisha Omar Juma (, Bunju)
  48. Maryam Idd Omar (25, Shakani)


   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Poleni wafiwa
   
Loading...