Maandamano makubwa kuidai Tanganyika.

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Kuna tetesi kuwa kuna maandamano makubwa kuidai Tanganyika hali ambayo inaonekana ni mtikisiko mwengine unaotarajiwa kuikumba Tanzania ,maandamano hayo yatafanyika Tanganyika kote ambako miji mikuu ndio itakuwa kiini
cha maandamano kwa kila mkoa ,wazee wa Tanganyika wenye busara ndio walioamua kutokaa kimya na kuona sasa ni muda muafaka wa kuibua hoja ya G55 iliyozimwa bungeni na mtu mmoja.

Tetesi hizo zimezidi kuonyeshwa kuchukizwa na hali ya nchi inavyoendeshwa bila ya kuwa na dira na maendeleo kutoonekana ,kila uchwao maendeleo yanarudishwa nyuma na kelele kutoka upande wa pili wa Muungano kuwa Muungano sio halali ,muungano unawanyionya muungano umedumaza ,sababu ambazo zinachangia kudumaa kwa Tanganyika na wananchi wake.
 
Hakuna upuuzi kama huo. Muungano hautakufa bali tutaangalia matatizo yaliyopo na tutayarekebisha.
 
Mwibaaaa! Huyu jamaa si ndo kila siku ni pro thithiem, kulikoni sasa ghafla kaibukia upande mwingine? Mkuu umejochanganya id au unajitekenya na kucheka mwenyewe? Kwa taarifa yako hili ni jamvi la great thinkers.
 
Wewe ni Uamsho Mkubwa, nasema ukweli kuwa Tanzania 1 na Serikali 1 ndio suluhu ya kweli, tudokezane Watanzania wa kweli au sisi ni koti fisadi akivimbiwua atuvue?
 
Kuna tetesi kuwa kuna maandamano makubwa kuidai Tanganyika hali ambayo inaonekana ni mtikisiko mwengine unaotarajiwa kuikumba Tanzania ,maandamano hayo yatafanyika Tanganyika kote ambako miji mikuu ndio itakuwa kiini
cha maandamano kwa kila mkoa ,wazee wa Tanganyika wenye busara ndio walioamua kutokaa kimya na kuona sasa ni muda muafaka wa kuibua hoja ya G55 iliyozimwa bungeni na mtu mmoja.

Tetesi hizo zimezidi kuonyeshwa kuchukizwa na hali ya nchi inavyoendeshwa bila ya kuwa na dira na maendeleo kutoonekana ,kila uchwao maendeleo yanarudishwa nyuma na kelele kutoka upande wa pili wa Muungano kuwa Muungano sio halali ,muungano unawanyionya muungano umedumaza ,sababu ambazo zinachangia kudumaa kwa Tanganyika na wananchi wake.

Angepatikana mzee mmoja mwenye kichaa cha mabadiliko ingekuwa njema sana, yani wazee wa Tanganyika wanakaa kimya wakati Tanganyika inadhalilishwa na watu dhaifu kabisa.
 
Kuna tetesi kuwa kuna maandamano makubwa kuidai Tanganyika hali ambayo inaonekana ni mtikisiko mwengine unaotarajiwa kuikumba Tanzania ,maandamano hayo yatafanyika Tanganyika kote ambako miji mikuu ndio itakuwa kiini
cha maandamano kwa kila mkoa ,wazee wa Tanganyika wenye busara ndio walioamua kutokaa kimya na kuona sasa ni muda muafaka wa kuibua hoja ya G55 iliyozimwa bungeni na mtu mmoja.

Tetesi hizo zimezidi kuonyeshwa kuchukizwa na hali ya nchi inavyoendeshwa bila ya kuwa na dira na maendeleo kutoonekana ,kila uchwao maendeleo yanarudishwa nyuma na kelele kutoka upande wa pili wa Muungano kuwa Muungano sio halali ,muungano unawanyionya muungano umedumaza ,sababu ambazo zinachangia kudumaa kwa Tanganyika na wananchi wake.

kwani futari inalevya!!!!
 
naanza kung'amua aliyokuwa anasema Hutaki unaacha kwenye thread yake ya chadema kuweni makini
 
Nitafurahi sana kitu hiyo ikiwepo. Kimya cha Watanganyika kutodai Tanganyika yao huwa ninakichukulia kama ni mapenzi kwa Muungano, urithi pekee uliobakia kutoka kwa Mwalimu Nyerere. Tuandamane Watanganyika tudai kilicho chetu, baadae tutagawana mbao na Wazanzibari.
 
Tanganyika tulieni zambi isiwakute.
Weweeeeeeee, Tanganyika inarudi, Liwalo na Liwe.

Na kitu cha kwanza ni kurejea mikataba yote ya madini. Hukuna kuchimbwa na mgeni chini ya 50% marahabas. Tanganyika imekuwa kichwa cha mwendawazimu?
 
Ningeshiriki Muungano umenichosa kila siku kelele za uamusho tunataka Tanganyika yetu.
 
Your request is sustained with my reputation. Na wakicheza mtiti wake hawatauweza. tanganyika ni lazima, sio mjadala. Kwanza iliporwa bila ridhaa yetu. Cha moto mtakiona.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom