Bungeni Live: Naibu spika akataa hoja ya Lissu kuzungumzia kuzama kwa meli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bungeni Live: Naibu spika akataa hoja ya Lissu kuzungumzia kuzama kwa meli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 20, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,520
  Trophy Points: 280
  Imebaki wanarumbana na kanuni kama kawaida ya ccm mwanasheria mkuu anajibu hoja kwa matusi na dharau. Lissu anamvaa tena

  Updates

  Chadema watoka nje wakiongozwa na Lissu
   
 2. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Weka hapa Update!
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mwanasheria akisikia hoja imetoka kwa Lissu hata iweje ni lazima aikatae maana anajua mbeleni wataumbuka vibaya sana.
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Briefly, xplain 2 us
   
 5. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Lisu anajua sheria na ana hoja mara ishirini zaidi ya Werema.atake asitake hata wakiingia darasani Lisu atamuacha mbali sana Werema.
   
 6. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  washindani tunatoka nje ya bunge dhaif
   
 7. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Ametoka Nje Lissu na Wabunge Wengine.
   
 8. Asango

  Asango JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mbona wenje hatoki?
   
 9. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,074
  Likes Received: 1,375
  Trophy Points: 280
  hawa wabunge wa mabwepande bana dhaifu kabisa
   
 10. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Mwanasheria katoa maneno ya kutukana kuwa kuwa na nywele siyo maana kuwa umaweza kufikiri...huyu jamaa ni hopeless
   
 11. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Hii ni kauli ya Mwanasheria Mkuu Bungeni kwa TUNDU LISSU.

  Kauli hii imepelekea Lissu na wabunge wengine wa CDM kutoka nje ya Bunge.

  Naibu spika amepinga Mwanasheria mkuu hajasema hivyo, na wabunge wa CCM wanapiga makele wakidai Lissu hakumsikia mwanasheria mkuu vizuri.

  Tutafuka?
   
 12. m

  massai JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kama alicho sema lisu ni kutoa hoja,mbona naibu spika hakulihoji bunge kama linaunga mkono hoja au hapana??...hili bunge linaongozwa na spika dhaifu,naibu dhaifu,wenyeviti dhaifu,mwanasheria dhaifu,lukuvi dhaifu na wabunge wa sisiemu wengi wao dhaifu.
   
 13. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Tatizo la CCM ndiyo hilo KUPINGA kila Hoja inayoletwa WAPINZANI. Hiyo MINDSET ndiyo inamtesa leo Spika Anne Makinda juzi alipokataa hoja Hamad Rashid.

  Even my STD I hero knows that Tundu Lissu is clever than Werema
   
 14. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa kifupi hatuna mwanasheria mkuu wa serikali yaani ni zero kabisa.
   
 15. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ww kweli hujui kanuni za bunge, inapotolewa hoja na mbunge akimaliza wabunge wenzake wanatakiwa kusimama ndiko kunako one kana kuwa hoja imeungwa mkono na sio kwa spike kuhoji. Spika ana hoji hoja za kupitisha bajeti za wizara
   
 16. sodeely

  sodeely Senior Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Mimi naona ni bora tufanye mapinduzi ya lazima
   
 17. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Lissu anawachokonoa nao wanalipuka Alijua tu hawawezi kukubali ila taarifa itakuwa imeenda kwa watanzania wote kwamba kwa mara ya pili imekataliwa. Chuki kwa wazanzibari inazidi.
   
 18. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  bunge la tanzania ni matokeo ya kupeana uongoz hukumpewa akilazimika kuktumikia aliempatia Burian Tanzania
   
 19. P

  Penguine JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Kwa mtazamo wa haraka haraka, ni ushindi wa chama tawala (CCM) kwenye Ukumbi wa Bunge.
  Lakini kwa mtazamo wenye upembuzi yakinifu, ni maangamizi ya chama hichohicho tawala kwa wananchi nje ya Ukumbi wa Bunge kwa sababu rulling imeonyesha walio madarakani hawako tayari kujadili maisha ya wanaowaongoza.

  Nakihurumia chama changu CCM kwa kuendelea kujiangamiza chenyewe
   
 20. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa kifupi hatuna mwanasheria mkuu yaani ni matatizo makubwa sana.
   
Loading...