Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa zamani wa Arusha mjini, Mhe. Godbless Jonathan Lema, siku ya Jumapili ya tarehe 29.07.2012 ataingia kwa kishindo jimboni kwa Aggrey Mwanry, huko Sanya akitumia Chopa ya Chadema, maarufu...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Katibu wa uvccm mkoani Ruvuma, Ndugu Robert (40) amepandishwa kizimbani kwa mashtaka ya unyang'anyi na uporaji wa pikipiki (bodaboda). Amekana mashtaka na ameachiwa kwa dhamana hadi tr 14 mwezi wa...
0 Reactions
1 Replies
928 Views
  • Closed
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa, Sospiter Muhongo, amewataka wananchi kuvuta subira wakati akishughulikia orodha ya watumishi wanaolihujumu Shirika la Umeme (Tanesco) kwani yeye si mtu wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tuchangie mjadala wa sekta hizi nyeti tukikumbuka manenoya hayati Mwalimu Nyerere katika kitabu chake cha TUJISAHIHISHE cha mwaka 1962,nanukuu: "Lakini woga unaweza kutokana na tamaa ya kila...
9 Reactions
91 Replies
9K Views
Wateja hufutiwa madeni katika mazingira tata, BoT yachunguza Mtandao wa wezi wapambana kujiokoa Raia Mwema | Toleo la 251 | 25 Jul 2012​ HALI si shwari ndani ya Benki ya Taifa ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Taarifa kwa umma wa Tanzania na vyombo vya usimamizi wa sheria za nchi. Naomba nitumie fursa hii kutoa ufafanuzi wa taarifa zilizojiri kwenye kikao cha baraza la madiwani tarehe 15/05/2012 la...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Ningependa kufahamu ni wakati gani utawala wa sheria huchukua mkondo wake ilihali kumekuwepo na mlolongo mkubwa wa matumizi mabaya ya sheria kukiukwa makusudi ili kuweza kufanikisha lengo la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa kusoma upepo tu tangu maficho ya fedha za walipa kodi huko Uswisi kuanikwa hadharani, kuna kila dalili ya vitisho dhidi ya hasa wanaoonekana wanaweza kuvalia njua suala hilo. Kinachoendelea ni...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi amejea toka India aliko enda kufanyiwa upasuaji hapa akizungumzia hali ya afya yake alipo waita waandishi wa habari nyumbani kwake Mbezi Tangi Bovu jijini...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Kutokana na utafiti wangu binafs kwa kipind cha mwez mmoja uliopita mpaka leo, wafuatao ndio waliotoa kaul ambazo wanaJF (siasa) walizipinga ama hazikukubalika kabisa ama zilileta mashaka. Wapo...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Mhadhiri mwandamizi wa sayansi ya siasa-UDSM dk Benson Bana amesema Chama Cha Mapinduzi bado ni imara ukilinganisha na vyama vingine. Hoja yake ameijenga kwa vigezo hivi: 1. Chama kina ofisi za...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakati mchakato wa kukusanya maoni kuhusu katiba ukiwa unaendelea. Jana na leo kulikuwa na semina ya wawakilishi kuhusiana na katiba, wapo baadh ya viongoz kutoka CCM wamekuwa wakitaka kwa wazi...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
1.Kushiriki kikamilifu katika vikao vinavyomuhusu na katika shughuli nyingine za chama kadri anavyotakiwa. 2.Kuchangia gharama za uendeshaji chama kwa njia ya ada ya uanachama ya kila mwaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali ya Kikwete imeshindwa kabisa wizara ya nishati na madini kwasababu ya mikataba mibaya. Sithani kama Kikwete ataweza kuwakemea mafisadi wa mikataba kwasababu wengi ni marafiki wake lakini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Wadau, Kwa Habari za Uhakika toka Serikalini, ni kuwa Gazeti la Mwana Halisi litafungiwa. Yawezekana ni kwakuwa limekuwa likiandika Habari zisizowapendeza Watawala. Kwa Mujibu wa Mtoa...
3 Reactions
10 Replies
4K Views
Fri Jul 27, 2012 6:03pm GMT * Gas-rich Tanzania plans royalty hike, signature bonus * E.African country becoming energy hub * To introduce new legislation by next year By Fumbuka Ng'wanakilala...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Wana- JF, Hivi punde katika kipindi cha maswali na majibu Waziri Mkuu, Pinda ameulizwa swali na Mh. Mchungaji Msigwa kuwa huko Zanzibar kuna tamko limetolewa na kiongozi mmoja kuwataka...
7 Reactions
272 Replies
21K Views
Umati huu ulihudhuria mkutano wa M4C mjini sumbawanga leo tarehe 27 july 2012. Pinda na wenzie wana haki ya kulalamika kwa CDM kwenda kwenye 'majimbo yao'.
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Kukutana Diamond Ijumaa Mikoa Yote Nchini Kushiriki Abas Syskes, Masheikh Kuunguruma Gazeti la LULU la leo Jumanne - 03 Januari 2012 linaripoti: Kongamano la Kitaifa la Uzinduzi wa Jukwaa la...
1 Reactions
163 Replies
20K Views
"Tangu tulipoachana rafiki yangu mwaka ule tukijifunza sanaa ya michoro pale Itigi RC misheni ulikuwa mdogo sana. Sasa umekua mtu mzima hata mimi naonekana mdogo kwako. Mbona unazeeka mapema hali...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…