rogers26tz
Member
- Oct 7, 2010
- 10
- 0
Inasikitisha sana.....
Eti watu binafsi wamejitolea kuendelea kuopoa maiti za waliozama na Mv SKAGIT huko Z'Bar (japo Serikali imesusa kuendelea na zoezi hilo)... na leo zimepatikana maiti tano. Na wamekiri kuwa kuna maiti nyingine nyingi tu zimenasa kule chini.
Cha ajabu ni kuwa serikali imegoma ''kuwasaidia'' mafuta ya kuendesha boti zao ili hawa waliojitolea waendelee na zoezi hili....
Hivi Wananchi ambao hawajapata miili ya ndugu zao watakuwa na sababu gani ya kuipenda serikali yao?!!!
Source;ITV Habari