hongera chadema kwa kuwanyima usingizi chadema

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
Hii ndiyo CCM! Huwa haishiwi propaganda chafu katika harakati zao za kutaka kuudhoofisha upinzani, ili kulinda kiti chake cha uongozi kisianguke (kisichukuliwe na upinzani). CCM wakati wote wanaihofia CHADEMA, na inasemekana kuwa, baadhi ya viongozi wake hata wakilala usiku huwa wanakurupuka katikati ya usingizi na kupiga mayowe ya CHADEMAaaa! Ni baada ya kuota ndoto ya kuona umati wa wafuasi wa CHADEMA (People's Power) wakiandamana kwa shangwe!Hivyo basi, katika hali ya kutapatapa CCM kwa sasa wamechoka kisera. Sasa wameamua kuishambulia CHADEMA kwa chuki, na si kwa hoja. Na katika kuthibitisha hilo, tazama hata wabunge wake kule bungeni. Wengi wa wabunge wa CCM wameacha kuisimamia na kuishauri serikali, badala yake wamekuwa makini katika kuwakosoa na kuwakomoa wabunge wa CHADEMA ambao wamekuwa wakijaribu kujenga na kuwasilisha hoja muhimu kwa taifa.Wabunge wa CCM hivi sasa wamegeuka kama watoto kule mtaani, ambao kwao umeme ukizimika wanafurahia 'Eeeeeeh!!’ Na Umeme ukiwaka utawaona wakifurahia pia 'Eeeeeeh!!’ Ni kama vile wabunge wa CCM, John Mnyika akisema CCM ni wadhaifu, utawasikia wakipiga kelele 'Aaaaaah!!’ Na Mnyika akitolewa nje ya bunge na Naibu Spika, utawasikia wakigonga meza kwa kelele huku wakisema 'Eeeeeeeh!!’ Ni kama vile watoto.
 
Mkuu usiporekebisha kosa ulilofanya kwenye kichwa cha habari sasa hivi watakwambia "umekurupuka".
 
em angalia hiyo heading mkuu.
 
RIP CCM. Kila siku wanapokuwa Bungeni, wabunge wa ccm wanatupia udongo kwenye kaburi la ccm bila kujijua.
 
Na hii mbinu mpya na ya kitoto ya ccm ya kutuma sms ati wametishwa na kukimbilia mahakamani kuzuia uhalifu wao usijailiwe inaonekana kuimaliza zaidi ccm kuliko ilivyotarajiwa, ccm wameishiwa akili, mbinu, na sasa wanakazi ya kutukana, kuzusha, kutisha watu, kuandaa makundi ya kihalifu kama walivotuma vijana kuvuruga mikutano ya CDM Shinyanga.
 
Hatua ya wabunge wa ccm kuacha kuishauri serikali na kuanza kuishambulia chadema bungeni inadhihirisha kuwa ccm inajiandaa kuwa wapinzani.
Hatua ya ccm kuwalalamikia chadema baada ya umeme kukatika bungeni inadhihirisha kuwa ccm iko kwenye mazoezi ya kujiandaa kuwa wapinzani.
Hatua ya ccm kuzunguka nchi nzima na mawaziri wao kukandia sera za chadema inadhihirisha kuwa tayari ccm imekubali kuwa wapinzani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
jamani kukurupuka siyo lazima utege mtego ukunase mwenyewe ,hata heading za aina hii ni kukurupuka pia.
 
tn+(16).jpg
ra cCCM KWA KULIPA WATU HAMCHOKI?

[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom