kama angekuwa mbunge toka chama chako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kama angekuwa mbunge toka chama chako

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kurzweil, Jul 22, 2012.

 1. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,880
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  [h=6]kama angekuwa mbunge toka chama chako,ungemshauri nini mwenyekiti wa chama chako taifa na wapiga kura wake?[/h][​IMG]
   
 2. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Arudishe kadi ya Chama huyu
   
 3. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,880
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  Mkuu huyu jamaa natamani hata nikapambane nae 2015
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Amewazalilisha wananchi wa jimbo lake.
   
 5. a

  andrews JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​bila ya hao welema na lukuvi watawadanganya akina nani ni mtaji mzuri kwa viongozi wa ccm kubuluza wajinga
   
 6. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Kwa yeyote anaetaka kugombea ubunge kwenye hilo jimbo (na ikatokea huyu "mbunge" wa sasa akagombea na nyinyiem au chama kingine chochote kikampitisha kugombea) kazi yake rahisi: achapishe mabango yenye picha hiyo na azibandike sehemu nyingi awezavyo!
   
Loading...