Nyahende Thomas
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 211
- 104
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa kamanda John Heche ameanza ziara ya siku tisa katika Mikoa ya Morogoro na Rukwa/Katavi, ukiwa ni muendelezo wa operation M4C.
Ziara hiyo imeanza jana mkoani Morogoro wilaya Kilombero ambapo alianza kwa kuitembelea familia ya marehemu Regia Mtema na kisha baadae kufanya mkutano wa hadhara mjini Ifakara.
Leo ataendelea na mikutano maeneo ya Kidatu na Ruaha.
Ratiba kamili nitaiweka hapa muda si mrefu ili makamanda mliopo maeneo atakayopita muweze kujipanga kushiriki katika mikutano hiyo.