mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,032
Wadau naomba kufahamu serikali imeweka utaratibu gani wa kupata vitambulisho vya uraia kwa watanzania walioko ughaibuni. Naona zoezi limeanza Dar (ila sina uhakika kama ni mikoa yote) na watu wameanza kujisajili kupata vitambulisho hivyo. Mwenye taarifa please......