Hivi,bajeti hainaga chenji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi,bajeti hainaga chenji?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by J.K.Rayhope, Jul 22, 2012.

 1. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau wote wa JF,Salaam kwenu wote wanajamvi.Swali langu ni moja tu.Nimepata mshtuko mkubwa sana baada ya kubaini kwamba hakuna waziri wa fedha hata mmoja aliyerudi na hata kijisenti kimoja kwamba na chenji ya bajeti,hivi haiwezekani au?Hata ile miradi ambayo fedha haikutumika,eti nazo huwa zinapotea.Hivi kwenye bajeti hakunaga masilesile yanayobakia?
   
Loading...