Wamechelewa kugoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamechelewa kugoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Korogwe Vijijini, Jul 31, 2012.

 1. K

  Korogwe Vijijini Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu mgomo wa walimu ambao unaendelea na unapamba vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali umeanza kwenye muda muafaka?.Nimeuliza hivyo kwa sababu tarehe 3 mwezi wa 8 shule za serikali zitafungwa au utadumu mwaka mzima?
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  nilidhani kuna cha maana.
   
 3. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tarehe tatu shule zinafunga, sio za serikali tu, but after holiday, mgomo utaendelea kama serikali itakuwa haijayafanyia kazi madai yetu. Hakuna kulala, au ulitaka kufahamu nini?
   
 4. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mgomo hauna mwisho.
   
Loading...