Twitter Pages za wanasiasa vijana Zitto na Makamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Twitter Pages za wanasiasa vijana Zitto na Makamba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by busar, Jul 31, 2012.

 1. b

  busar JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Nimepitia mara kadha page zao za twiter ili kujua misimamo Yao katika mambo yanayoendelea katika jukwaa la siasa na Wako kimyaaa tofauti na kawaida yao.

  Mtakumbuka katika vipindi kama hivi siku za nyuma hata JF walikuwa wakipita pitapita, issue ya Mkulo, Jairo, CHC, DOWANS, etc.
  Media hizi zimewajenga na wengi tulifurahi kwa wanasiasa vijana ku-interact nasi kwa mtandao.

  Ni vizuri watambue wana wajibu wa kueleza na kuwa responsible kwa yanayoendelea. Kwani kama wenzao walipopatwa na kashfa waliziweka hapa mitandaoni. Hivyo ni zamu Yao kusemea juu ya yanayoendelea kule Tanesco na Nishati kwa ujumla. Na si kutoa matamko mafupi mafupi.

  Watambue wana wafuasi na washabiki wao ambao hawana namna ya kuonana nao isipokuwa katika media hizi.
   
 2. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Wote wawili wameshikwa pabaya a.k.a sirini...
   
 3. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Ingawa story yako haieleweki vizuri au hukuiweka sawa.
   
 4. m

  mwabakuki JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  elezea wewe unachojua...
   
 5. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  waliondoka baada ya nape kuweka vibaraka waka wakaj na issues za kijinga
   
 6. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Wamefulia hao Spice men..eti wanataka kwenda ikulu!
   
Loading...