Halmashauri ya Wilaya Njombe yatangaza kufanyika kwa uchaguzi mdogo katika kata 14

lutondwe

Senior Member
Dec 20, 2010
150
74
Baada ya kukaa zaidi ya mwaka mmoja bila kujaza nafasi za viongozi wa vijiji 18 katika halmashauri ya Njombe hatimaye Mkurugenzi ametangaza kufanyika kwa uchaguzi siku chache zijazo.Kabla ya tangazo la tarehe 27.7.2012 kulikuwa na malalamiko mengi toka CHADEMA kutaka uchaguzi huo ufanyike mapema.Juhudi zilichukuliwa pamoja na kulipeleka swala hili TAMISEMI lakini ilishindika.Sasa mambo ni safi.Kwa shauku kubwa tunasubiri kwa hamu ligi hii muhimu na jaribio mwanana kwa CHADEMA kuonyesha makali yake baada ya kufanya siasa za kukijenga chama kwa zaidi ya miaka miwili bila kupumzika.
vijiji vitakavyofanya uchaguzi ni vifuatavyo:
1.Sovi na Welela-kata ya Mtwango-nafasi moja ya kiti kwa kila kijiji
2.Kitole-kata ya Ikondo-serikali yote
3.Lole kata ya Ikuna-kwa kamanda Nyagawa-kiti
4.Ibiki na Kivitu -nafasi moja ya kiti kwa kila kijiji
5.Wangutwa kata ya uhambule-kwa kamanda Nyimbo-nafasi moja ya Kiti
6.Igima kata ya Igima-kiti
7.Ing'enyango kata ya Kipengere-serikali nzima
8.Ilulu kata ya Imalinyi-serikali nzima
9.Maduma kata ya Kichiwa-serikali nzima
10.Mkeha kata ya Kidugala-serikali nzima
11.Luduga kata ya Luduga-kiti
12.Dulamu kata ya Igwachanya kwa waziri Lwenge-kiti
13.Ikwega kata ya Usuka-kiti
14.Itulahumba kata ya Mdandu-kiti
*serikali nzima maana yake ni vijiji vipya hivyo ni uchaguzi wa mara ya kwanza.
tunasubiri kwa hamu kampeni ambazo zitapangwa tarehe 10.8.2012 saa 3.00 asubuhi
Tunaahidi kuwahabarisha mchakato wa uchaguzi mara kwa mara.
 
Kama bendera zinazoonekana ktk vijiji vingi vya Njombe/Makete zinamaanisha na sio porojo,basi CDM wana nafasi kubwa sana ktk uchaguzi huo ya kufanya vizuri. Mwamko wa wananchi uko juu sana, kwa hiyo kama uchaguzi utakuwa huru na wa haki, CCM watarajie kilio.
 
Baada ya kukaa zaidi ya mwaka mmoja bila kujaza nafasi za viongozi wa vijiji 18 katika halmashauri ya Njombe hatimaye Mkurugenzi ametangaza kufanyika kwa uchaguzi siku chache zijazo.Kabla ya tangazo la tarehe 27.7.2012 kulikuwa na malalamiko mengi toka CHADEMA kutaka uchaguzi huo ufanyike mapema.Juhudi zilichukuliwa pamoja na kulipeleka swala hili TAMISEMI lakini ilishindika.Sasa mambo ni safi.Kwa shauku kubwa tunasubiri kwa hamu ligi hii muhimu na jaribio mwanana kwa CHADEMA kuonyesha makali yake baada ya kufanya siasa za kukijenga chama kwa zaidi ya miaka miwili bila kupumzika.
vijiji vitakavyofanya uchaguzi ni vifuatavyo:
1.Sovi na Welela-kata ya Mtwango-nafasi moja ya kiti kwa kila kijiji
2.Kitole-kata ya Ikondo-serikali yote
3.Lole kata ya Ikuna-kwa kamanda Nyagawa-kiti
4.Ibiki na Kivitu -nafasi moja ya kiti kwa kila kijiji
5.Wangutwa kata ya uhambule-kwa kamanda Nyimbo-nafasi moja ya Kiti
6.Igima kata ya Igima-kiti
7.Ing'enyango kata ya Kipengere-serikali nzima
8.Ilulu kata ya Imalinyi-serikali nzima
9.Maduma kata ya Kichiwa-serikali nzima
10.Mkeha kata ya Kidugala-serikali nzima
11.Luduga kata ya Luduga-kiti
12.Dulamu kata ya Igwachanya kwa waziri Lwenge-kiti
13.Ikwega kata ya Usuka-kiti
14.Itulahumba kata ya Mdandu-kiti
*serikali nzima maana yake ni vijiji vipya hivyo ni uchaguzi wa mara ya kwanza.
tunasubiri kwa hamu kampeni ambazo zitapangwa tarehe 10.8.2012 saa 3.00 asubuhi
Tunaahidi kuwahabarisha mchakato wa uchaguzi mara kwa mara.
Kwenye bold kunahusika sana. Hakikisheni mnaburuza vilivyo na hiki ndio kipimo cha uchaguzi wa serikali za Mitaa wa 2014. Kila la heri Vanyakaye
 
Back
Top Bottom