Mahakama yashindwa kuzuia mgomo wa walimu,

nzom

Senior Member
Nov 6, 2010
180
31
Katika kile kilichoonyesha kua walimu ndani ya nchi hii ndio waliowafundisha wote wenye maarifa na hao wenye madaraka,
Baada ya serikali kuweka zuio mahakamani leo mahakama imeshindwa kuzuia mgomo kabisa.

hivyo cwt walisha weka zuio na kinga hiyo hukumu mpaka j5 saa 8 mchana hivyo walimu wanaendelea kukaa nyumbani mpaka baada ya hukumu.

Rai yangu mabavu na uonevu na kutothamini taaluma ndani ya nchi hii itakuja wapelekea kupata hasara kubwa
 
Is teaching a professional?
Please greet thinkers may you comment on this threat, may be what i passive is wrong that teaching is not a professional that is why teachers are underpaid, ignored and undermined in our country Tanzania.
 
Source ITV Habari

Mahakama ya kazi division ya kazi imeshindwa kutoa hukumu juu ya mgomo wa walimu na serikali hadi tarehe 2 August 2012 na mahakama imedai mgomo haukufuata taratibu zote na ni batili na viongozi wanasema ni halali
 
Majaji wakisema mgomo ni batili lazima watakuwa wamepakatwa na nape, namaanisha werema na rwakibarila!!!
 
Kwa lugha laisi mgomo ni halali kama ingekuwa sio halali mahakama ingetoa hukumu mbona kwa Madaktari hukumu ilitoka fasta. Walimu mwendo mdundo mpaka kieleweke, serikali imeshikwa pabaya.
 
Aliesema mgomo si halali ni wakili wa upande wa serikali, na ingekuwa mahakama imeona si halali ingetoa amri ya kuzuia. Magamba yamekamatwaaaa! Pabaya.
 
Source ITV Habari

Mahakama ya kazi division ya kazi imeshindwa kutoa hukumu juu ya mgomo wa walimu na serikali hadi tarehe 2 August 2012 na mahakama imedai mgomo haukufuata taratibu zote na ni batili na viongozi wanasema ni halali

Aliyesema siyo halali ni wakili wa serikali siyo mahakama!!
 
masikini JK, sidhani kama hata swaumu yake inapokelewa na mwenyez mungu,kwa watoto wetu kukosa haki ya kusoma!

madrasa wanaenda shida iko wapi!!!!
Nyinyi wa makanisani mtajijua na mtakatifu zenu sijui st.
 
Source ITV Habari

Mahakama ya kazi division ya kazi imeshindwa kutoa hukumu juu ya mgomo wa walimu na serikali hadi tarehe 2 August 2012 na mahakama imedai mgomo haukufuata taratibu zote na ni batili na viongozi wanasema ni halali
hacha uongo wote tumeona hiyo habari walichosema watatoa hukumu tarehe 2 mwezi wa nane
 
Source ITV Habari

Mahakama ya kazi division ya kazi imeshindwa kutoa hukumu juu ya mgomo wa walimu na serikali hadi tarehe 2 August 2012 na mahakama imedai mgomo haukufuata taratibu zote na ni batili na viongozi wanasema ni halali

acha kupotosha umma, mahakama hajasema lolote, hukumu tar 2, unashindwa kuelewa, mbona hiyo habari nimetizama
 
Source ITV Habari

Mahakama ya kazi division ya kazi imeshindwa kutoa hukumu juu ya mgomo wa walimu na serikali hadi tarehe 2 August 2012 na mahakama imedai mgomo haukufuata taratibu zote na ni batili na viongozi wanasema ni halali

Failed judiciary with foda faster judges!!!! unable to write a judgement
 
Is teaching a professional?
Please greet thinkers may you comment on this threat, may be what i passive is wrong that teaching is not a professional that is why teachers are underpaid, ignored and undermined in our country Tanzania.
eti eeenh,,,,mgomo wa walim nawe umekuathiri
 
Mkuu aliyesema kuwa mgomo ni batili ni wakili wa serikali na si mahakama, na wakili wa walimu akasema mgomo umefuata sheria na taratibu zote na hivyo mgomo ni halali. Kwa kuwa mahakama imebanwa na sheria na taratibu zilizofuatwa na CWT
 
Back
Top Bottom