Bunge, TRA wote Wezi. Angalia Tunavyoibiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge, TRA wote Wezi. Angalia Tunavyoibiwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jul 31, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Bunge ilipitisha kwamba wale wote wanaorenew road licence lazima walipie huduma ya moto. Hapo mwanzoni hii huduma ya moto ilikuwa Tsh 3,000/ leo hii hiyo huduma imepanda kuanzia Tsh 40,000/ kwenda juu.

  Sasa hii huduma ya moto iliyopitishwa na bunge ni la nini wakati hatuna hata zima moto moja kwenye maeneo nyeti kama airport. huu mrani ni wa nani na kwa nini. TRA inatumaliza na kodi zinazowanufaisha mafisadi.

  Bunge mko wapi?
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mpaka tutakapokubali kuwaheshimu wanaojitolea kutuelimisha na kuacha kuwakejeli kwa majina ya ajabu!

  Leo hii bila ule mwamko ulioanzishwa Mwembeyanga na yule mzee wetu huenda haya mambo yangekuwa funika kombe mwanarahamu apite!! Kuna watu bado wanaona ni kazi ndogo kuwataja watu hatari!

  Saizi wananchi wanaelewa, na siku za huu mfumo au genge la wezi zinahesabika!
   
 3. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Donge tu
   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  khaaaaaaaaaaa.. hii nayo ya lini tena?
   
 5. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  inaonekana hii haikusumbui kichwa. pengine ndugu zako inawaumiza. Kwa nini tulipie kitu ambacho hakipo? umeshaona zima moto wanaliokoa gari linaloteketea? Watakuja eneo la tukio wakakwambia hawana maji kwa hiyo wanaomba hela ya mafuta wakati gari limeshaungua
   
 6. v

  vngenge JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Subiri zamu yako, hajasikia kutesa kwa zamu? tulia tu mkuu
   
 7. m

  mdoe mchaina Senior Member

  #7
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tupo kimya tu ! kweli watanzania tuna moyo watakuja kutuambia wake zetu walale magogoni kwa ajiliya usafi bado tuta kaa kimya tu sasa kutoka elfu tano mpaka elfu arobaini wapi na wapi !
   
 8. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Bunge lenyewe si linaendeshwa na kodi kama hizo?
  wewe ungeweza kuamini kwamba wabunge wenye akili wangeweza kupitisha sheria ya kuleta magari ya miaka chini ya 8?
  Umeshawahi kuyaona magari ya kutoka japan ya 2000?
  Ni bora kuliko magari ya serikali.
  wabunge hawa hawa si walipitisha sheri hiyo bila kutafakari?
  Sasa unashangaa nini kipya?
   
 9. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Hii ya lini tena...........hebu weka full data
   
 10. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Niliwahi kusema siku moja watakuja na sera za kubinafsisha wake zetu. Bado kidogo kila mtoto atakapozaliwa lazima ulipe kodi! Am waiting for more taxes to come. Ukiishi zaidi ya miaka 50 tunakulima kodi. Yes!
   
 11. d

  dguyana JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inapokwenda sasa kila huduma ya Jamii tutaichangia kivyake. Utakuja kusikia huduma ya askari wa doria inakatwa kwa Mwenyekti wa serikali za mitaa mara huduma ya maji kwenye bili za maji, huduma ya umeme kwenye umeme yaani sasa hivi bongo na bunge lake kila kitu ni dili tuu. K.
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Tangia hapo huduma za jamii zinatakiwa kuchangiwa na wananchi.

  Kama wananchi hawachangii huduma za jamii kwa kiasi chao unategema huduma hizi zijiendesheje? Kwa bakuli la kufadhiliwa na wahisani?

  Tatizo langu si kwamba wananchi wanachangishwa kuchangia huduma za jamii.

  Tatizo langu ni kwamba, hata baada ya wananchi kuchangishwa huduma za jamii, huduma za jamii hazipati michango hiyo ya wananchi.

  Wewe angalia barabara crucial kama ya Mandela, Dar-es-salaam wanapokaa wajanja na viongozi wao.

  Haina hata taa!

  Na kodi watu wanalipa.
   
 13. a

  arumeuru Member

  #13
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hili swala linakera nadhani kuna bahadhi ya vitu bunge linapitisha alivijui, tofauti ya asilumia 1500,na wabunge wanapitisha sasa hawa wanaojiita upinzani na wanaojiita chama tawala wote lao moja tuu, kupigia kelele nani kala nani kala bila kujali wanapitisha kitu cha kwenda kuwaumiza wananchi walio wengi. WABUNGE WOTE HAKUNA KITU.
   
 14. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Yaani hii imeongezwa kwa 1,500% This is Crazy!
  Insane... Mungu Wangu. hivi hili bunge wanaelewa kweli wanachokifanya

  Tumekwisha. Wabunge Wetu vihiyo kweli kweli.
   
 15. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145

  suprise!!!!!!!!!!!!!!!

  huo ndio mwendo wa awamu ya nne.....
   
 16. L

  Lekausia Member

  #16
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimetoka kulipa leo 30000 yani roho inauma mpaka basi
   
 17. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #17
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mhhh!ngoja nipite kwanza,nchi kama haina vichwa!
   
 18. l

  lebabu11 JF-Expert Member

  #18
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 1,650
  Likes Received: 517
  Trophy Points: 280
  Kuna haja ya kuangalia upya swala la kodi kwani kama serikali inaanzisha wakala wa kukusanya mapato na kutoa huduma, basi kodi zinazolipwa serikalini zipungue kwa kiwango kinachowiana na makusanyo ya wakala hizo.
  Kuanzishwa kwa wakala nyingi za kukusanya mapato bila kutoa huduma ni wizi na uovu dhidi ya raia.
  Kazi ya zimamoto siyo kukusanya mapato bali kutoa huduma ya kuzima moto.
  Hata hivyo wananchi wanatakiwa kuangalia upya watunga sera na sheria ambao kwa hali ilivyo mambo yakiendelea hivi wanatakiwa kutangazwa maadui namba moja wa wananchi!
  Hali hii haikubaliki na haitakiwi iachwe iendelee!
   
 19. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #19
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 950
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Hii nchi ni ya wajanya watapata wapi pesa za kuweka uswiswi
   
Loading...