Walimu kutumia nguvu ya wanafunzi kesho

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Walimu waendelea kuhamasisha wanafunzi kujitokeza kwenye mgomo kesho dar kuwaka moto wanafunzi wataziba njia zote.

Mobilization yaendelea wakati huo huo serikali yaonya kupitia Mh Shukuru kawamba

Kaazi imeanza
 
Movie nyingine.... RAMBO PART 1...........Kazi ipo
 
Haya matukio yametufanya tushindwe kuchukua hatua kwa yale yaliyo toka jana, Mfano wale vigogo waliokutwa na fedha kwenye mabenki ya nje hakuna alietajwa wala hatuoni ni hatua gani zimechukuliwa dhidi yao
 
hapo ss walimu wana dai haki yao ya mishahala kuwa midogo na malimbikizo mbali mbali na wanafunzi wanadai haki yao ya kufundishwa ingawa madai yao yapo tofauti sio mbaya kwao pia kuungana.
 
Na mimi nitaamka asubuhi na mapema kwenda shule kuwahamasisha wanafunzi wangu waende kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa kudai haki yao ya kufundishwa. Maafisa elimu si waalimu? Waingie madarasani washike chaki. Shenzi kabisa. Hadi kieleweke!!!!
 
lets wait and see!!walimu waoga sana they cant do that believe me!!
 
Kuna mwalimu nilikutana naye kwenye daladala akasema wanasubiria amri ya mzee wa kaya ya kuwataka waende watakakopata kiasi wanachotaka ili akasimamie miradi yake. Najiuliza siku wanajeshi wakigoma itakuwaje...bado wataambiwa wakatafute kazi wapendako?
 
Inadaiwa wasanii wa TAKUKURU wanalichunguza hili lakini sidhani kama ripoti itawekwa hadharani. Wanakingiana vifua ili kufichiana madhambi yao..

Zitto wants Swiss bank accounts investigated probed

Haya matukio yametufanya tushindwe kuchukua hatua kwa yale yaliyo toka jana, Mfano wale vigogo waliokutwa na fedha kwenye mabenki ya nje hakuna alietajwa wala hatuoni ni hatua gani zimechukuliwa dhidi yao
 
Na mimi nitaamka asubuhi na mapema kwenda shule kuwahamasisha wanafunzi wangu waende kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa kudai haki yao ya kufundishwa. Maafisa elimu si waalimu? Waingie madarasani washike chaki. Shenzi kabisa. Hadi kieleweke!!!!
Naunga mkono hoja kwa 75%. Sasa ni zamu ya walimu na wanafunzi kuju CCM ilivyo mbaya na katili.
 
Kuhamasisha wanafunzi ni vizuri kwa sababu wana madai yao juu ya haki zao pia wanafundishwa kwa vitendo kudai haki zao "Ahsateni waalimu kuwafundisha watoto wetu kuwa wapambanaji"-Wazazi
 
Back
Top Bottom