''REAL'' owner wa gazeti la MwanaHalisi mbona yuko kimya?

Status
Not open for further replies.

thread critic

Member
Jul 17, 2012
71
14
Naogopa kumtaja jina...

Lakini nashangaa sana kuona kimya cha huyu mheshimiwa ambaye ndiye REAL owner wa gazeti la mwanahalisi.

Imekuwaje au anajiandaa na mashambulizi mapya? Maana si kawaida yake huyu kuwa kimya hivi na hasa kwenye mambo ambayo ana interest nayo.

Kuna nini?
 
Usijali. J5 haijafika unakurupuka tu. Gazeti limefungiwa in theory tu.
 
Naogopa kumtaja jina...

Lakini nashangaa sana kuona kimya cha huyu mheshimiwa ambaye ndiye REAL owner wa gazeti la mwanahalisi.

Imekuwaje au anajiandaa na mashambulizi mapya? Maana si kawaida yake huyu kuwa kimya hivi na hasa kwenye mambo ambayo ana interest nayo.

Kuna nini?

Mbona Mnazidisha Gossips - Kwanini Usihamie BUNGENI kwa Mama Spika ambako ndiko siri zinakofichwa??

Usituumize vichwa - we are tired already...
 
acha umbea wewe kama ungekuwa si mmbea siufunguke sasa ?? Inaonekana unapenda sana udaku
 
Naogopa kumtaja jina...

Lakini nashangaa sana kuona kimya cha huyu mheshimiwa ambaye ndiye REAL owner wa gazeti la mwanahalisi.

Imekuwaje au anajiandaa na mashambulizi mapya? Maana si kawaida yake huyu kuwa kimya hivi na hasa kwenye mambo ambayo ana interest nayo.

Kuna nini?

No substance!
 
Hili ni jamvi...sio kapu...
 
Sasa hii ni habari au taarabu? Maana haieleweki ni mafumbo tu!
 
tamuchungu Unapoandika jina na unapoanza sentensi unapaswa kutumia herufi kubwa. ni Anthony na siyo anthony.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom