Wito kwa walimu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wito kwa walimu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MotoYaMbongo, Jul 31, 2012.

 1. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Ndg walimu wote, maisha bila ya ualimu yapo sana tu, msirudi nyuma, mmenyanyaswa sana na serikali na mmedharauliwa vya kutosha, kama kazi yao wachukue, yani hadi wauza maji wanadharau walimu, bodaboda, na wasukuma makwama, mbona kuna watu wengi tu wanaishi bila ajira ya serikali? Kazeni buti jamani kwa faida yenu na watoto wetu ili heshima ya walimu ipatikane. Mungu wabariki walimu wangu na wanaharakati wote Tanzania dhidi ya dhuluma, ukandamizaji, unyang'anyi na wizi wa CCM na serikali yake dhalimu.
   
 2. M

  Mendelian Inheritanc Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni heri shujaa aliyekufa kuliko mwoga anaeishi. Aluta kontinua walimu msirudi nyuma freedom is coming tomorrow asitokee msaliti kati yenu.
   
Loading...