Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hotuba ya Kamati ya Bunge na pia kwa namna fulani Kambi rasmi ya upinzani inayosimamia Wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa zimerejesha tena alama ya kuuliza katika yale maswali ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Malawi inatoa wapi kiburi cha kutangaza sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa ni sehemu yake? Hivi si kwamba sisi tumezembea mipaka yetu hadi jirani wameona udhaifu wetu?Hivi enzi za...
1 Reactions
100 Replies
9K Views
Hivi karibuni umeibuka mtindo wa CHADEMA kufungua matawi nje ya nchi. Tumesikia mgombea Urais mtarajiwa mh. Zitto Kabwe akishirikiana na mbunge wa Tanzania anayeishi Marekani mh. Leticia Nyerere...
1 Reactions
67 Replies
6K Views
Maana nae lilimsema vibaya sana yeye pamoja na chama chake katika matoleo yake, nataka kauli yake, walau aonyeshe furaha yake adharani, kwani Mh. Na CCM yake alishawahi kukubali pia kuwa gazeti...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
hivi kamati ya ulinzi na usalama wanayo website? report zao zinapatikana vipi? maana tunataka kujua sisi wananchi hali halisi ikoke?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA KATA YA USA-RIVER KINAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA USA RIVER NA VITONGOJI VYAKE NA MAENEO YOTE YA JIRANI KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO WA...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Tume ya Warioba yatupiwa lawama Tume ya kukusanya maoni ya Katiba inayoongozwa na ya Jaji Joseph Warioba, imetupiwa lawama kwa kushindwa kuchukua hatua za kisheria dhidi ya baadhi ya viongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
1. Muundo wa serikali tatu. (TANGANYIKA, ZANZIBAR NA Jamhuri Ya Muungano). 2. Mikoa na wilaya ipunguzwe na idadi iwe kwenye katiba. Iwe mitano, sita lakini isizidi kumi. 3. Wizara ziwe kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Monday, 18 June 2012 13:37 Nafasi ya Urais Urais ndio alama kubwa ya Muungano. Urais unashika nguvu zote za dola na kwa hivyo Mtanzania anaekuwa Rais ndiye mwenye amri ya mwisho katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanini wacristo na serikali wanakataa hoja ya waisalam kuweka wawakilishi wa dini zote mbili ili kuondoa kupoteza gharama au hawatki haki wanataka takwim za uwonago nakwanini watoe takwim za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baadhi yetu sisi ni vijana lakini miaka michache ijayo tutaitwa wazee. Hili suala la pension litatukuta tukiwa wazee. Sijikiti sana kwenye suala la kuchukua pension kabla au baada ya miaka 55...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Akiwahutubia mawaziri baada ya kufanya workshop malasya JK amewaambia sasa kazi ndio imeanza, inabidi wawe focused, waweke mechanism/system ya ku-track projects zilizo chini na ministry zao na...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
JUMATATU, AGOSTI 06, 2012 05:49 NA ARODIA PETER *Lengo ni kudhibiti vitendo vya jinai *Ikithibitika majina yao yatatumwa Beijing *Kamati ya Makinda yasubiriwa kwa hamu *Viongozi wa dini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwako Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete,Rais na Amiri Jeshi Mkuu wan chi yangu Tanzania. Kwa heshima na taadhima napenda kukuandikia kupitia mtandao huu wa JamiiForums nikiwa na imani kwamba ushauri huu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Jaman kwa wale watakao bahatika kutoa maoni kwenye tume, waniwasirishie dukuduku langu kwenye tume,darasa la saba wasiruhusiwe kugombea ubunge kwenye chaguzi zijazo,kuwe na limitation kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TUME YA KUKUSANYA MAONI JUU YA KATIBA MPYA- DUNGA 9/7/2012 Dunga maoni leo: Walosema mfumo wa sasa wa Muungano uendelee ni 59, walotaka mfumo wa Serikali mbili huru zenye mamlaka kamili...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Baada ya kufuatilia historia ya mgogoro huu nimepata wazo kwamba Tanzania ilikua na historia ya kipekee ya kushughulikia tatizo hilo wakati wa serikali ya Bakili Muluzi (94-2004). Muluzi alikua...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Baada ya kimya cha muda mrefu katibu mkuu Mstaafu wa CCM Makamba ameibuka na kusema kuwa maisha bora kwa kila mtanzania hayawezi kuletwa na rais JK peke yake. Zilikuwa ahadi ni ndoto...?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
SIKILIZA MCHANGANUO WA HOTUBA YA MAMBO YA NCHI ZA NJE BUNGENI DODOMA KUPITIA ARUSHA MAMBO Redio ikifunguka usiache ku LIKE na kutuma maoni yako kwa info@arushamambo.com ILI KUSIKILIZA: Ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu wana JF Sakata mchakato wa ununuzi wa mafuta ya kuendeshea mitambo ya umeme kwa TANESCO bado ni bichi. Serikali na Bunge wanatekeleza ushauri/maagizo yaliyotolewa na Kambi ya Upinzani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom