Tangazo kwa wananchi wa Arumeru mashariki. M4c is here.

Puppy

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
2,995
2,494


CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA KATA YA USA-RIVER KINAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA USA RIVER NA VITONGOJI VYAKE NA MAENEO YOTE YA JIRANI KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO WA HADHARA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 11-08-2012.

KATIKA KIWANJA CHA SOKONI MAGADIRISHO KUANZIA SAA SABA KAMILI MCHANA.

WAGENI RASMI NI VIONGOZI WA TAIFA CHADEMA,WILAYA,KATA NA TAWI,KARIBUNI WANANCHI WOTE TUENDELEZE KAULI MBIU YETU YA “VUA GAMBA VAA GWANDA” SAMBAMBA NA (M4C)NA WALE WOTE WANAO TAKA KURUDISHA KADI SIKU HIYO TUNAWAKARIBISHA.

TAFADHARI FIKA BILA YA KUKOSA.



Source; Mwenyekiti Wa Chadema Kata Ya Usa-River.
 
Mwenyekiti au mwenyekiti wa muda!? Maana mwenyekiti alivamiwa na ccm akapoteza maisha!
 
Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kata ya usa-river kinapenda kuwatangazia wananchi wote wa usa river na vitongoji vyake na maeneo yote ya jirani kuwa kutakuwa na mkutano wa hadhara siku ya jumamosi tarehe. 11-08-2012 katika kiwanja cha sokoni magadirisho kuanzia saa saba kamili mchana.

Wageni rasmi ni viongozi wa taifa chadema, wilaya, kata na tawi, karibuni wananchi wote tuendeleze kauli mbiu yetu ya "vua gamba vaa gwanda" sambamba na (m4c)na wale wote wanao taka kurudisha kadi siku hiyo tunawakaribisha.tafadhari fika bila ya kukosa.
 
chama cha demokrasia na maendeleo chadema kata ya usa-river kinapenda kuwatangazia wananchi wote wa usa river na vitongoji vyake na maeneo yote ya jirani kuwa kutakuwa na mkutano wa hadhara siku ya jumamosi tarehe .11-08-2012 katika kiwanja cha sokoni magadirisho kuanzia saa saba kamili mchana.wageni rasmi ni viongozi wa taifa chadema,wilaya,kata na tawi,karibuni wananchi wote tuendeleze kauli mbiu yetu ya "vua gamba vaa gwanda" sambamba na (m4c)na wale wote wanao taka kurudisha kadi siku hiyo tunawakaribisha.tafadhari fika bila ya kukosa.

Mkuu ili uaminike hapa jamvini na kwa kuwa wewe inaonekana una say kwenye Chama huko uliko tafadhali sana weka majina yako na cheo chako ili habari yako iaminike tafadhali .
 
Usa river iko wapi?, nyanda za kusini, kanda ya ziwa au nyanda za juu kaskazini?.
 
Usa river iko wapi?, nyanda za kusini, kanda ya ziwa au nyanda za juu kaskazini?.

Usa-River ipo katika Wilaya ya Arumeru, jimbo la Arumeru Mashariki, Kanda ya Kaskazini nchini Tanzania katika barabara ya Arusha-Moshi kati ya Maji ya Chai kwenye barabara ya kwenda Hifadhi ya Taifa ya Ausha na unapotoka Arusha kwenda Moshi Mji Mdogo wa Usa-River upo karibu sana na Chuo Kikuu cha Makumira.

Eneo la Magadirisho ni kuanzia Makao makuu ya wilaya ya Arumeru na Makao makuu ya Polisi Wilaya ya Arumeru, yaani upande wa kaskazini wa mji wa Usa-River. Tembelea "Google Map" utafika bila shida
Je!Unahitaji msaada zaidi?
 
Kutoa Ni moyo si utajiri hiyo ndiyo kauli mbiu.....unakaribishwa pia:loco:
 
Amini usiamini ndivyo ilivyo au Unadhani CHADEMA hatusemi kweli? Usiwe na hofu Kamanda tumeandaa Vua gamba vaa Gwanda ya uhakika. Endelea kufuatilia zaidi! Karibu sana na mwambie na mwenzako
 
Mwenyekiti au mwenyekiti wa muda!? Maana mwenyekiti alivamiwa na ccm akapoteza maisha!

Nani ni nani? Haina mshiko kwa sasa.Karibu kwenye mkutano huu utapata majibu sahihi kwa maswali yako. Nategemea utakuwepo Magadirisho siku ya mkutano.

Mtangazie na rafiki yako!
 
Kaka mimi ni mjumbe tu kaka.
viongozi wapo mheshimiwa.
 
nyie si mlipiga zile za epa na sasa hivi mmeshahifadhi uswis kwa ajili ya 2015

Na zingine wanachukua mifuko ya Hifadhi ya jamiii na kusababisha tuongezewe muda wa kuchukua hela zetu mpaka miaka 55 kwa ajili ya 2015
 


chama cha demokrasia na maendeleo chadema kata ya usa-river kinapenda kuwatangazia wananchi wote wa usa river na vitongoji vyake na maeneo yote ya jirani kuwa kutakuwa na mkutano wa hadhara siku ya jumamosi tarehe .11-08-2012 katika kiwanja cha sokoni magadirisho kuanzia saa saba kamili mchana.wageni rasmi ni viongozi wa taifa chadema,wilaya,kata na tawi,karibuni wananchi wote tuendeleze kauli mbiu yetu ya “vua gamba vaa gwanda” sambamba na (m4c)na wale wote wanao taka kurudisha kadi siku hiyo tunawakaribisha.tafadhari fika bila ya kukosa.
 
Back
Top Bottom