Maoni yangu.

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
1. Muundo wa serikali tatu. (TANGANYIKA, ZANZIBAR NA Jamhuri Ya Muungano).
2. Mikoa na wilaya ipunguzwe na idadi iwe kwenye katiba. Iwe mitano, sita lakini isizidi kumi.
3. Wizara ziwe kwenye katiba ili kuepuka uundwaji wa wizara kwa manufaa binafsi.
4. Lugha zetu za asili zitambuliwe kwenye katiba.
5. Majina ya sehemu, miji, mikoa, wilaya na kadhalika yawe ya KIASILI.
6. Majaji na mahakimu wateuane wenyewe.
Hayo kwa leo ndo niliyonayo moyoni.
 
Back
Top Bottom