JK: Kazi ndio imeanza! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK: Kazi ndio imeanza!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Uswe, Aug 6, 2012.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Akiwahutubia mawaziri baada ya kufanya workshop malasya JK amewaambia sasa kazi ndio imeanza, inabidi wawe focused, waweke mechanism/system ya ku-track projects zilizo chini na ministry zao na wakishindwa kudeliver hatasita kuwatema.

  Haya yamekuja mwaka 2012, mwaka wa saba toka ameingia madarakani na akiwa amebakiza miaka mitatu tu!

  hiki ni kitu watanzania tulikua tunajua na tunategemea kutoka kwa rais wetu toko mwaka 2005 November, bahati mbaya kimekuja 2012 August
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Mazingaombwe as usual.Hakuna jipya meli tayari imetoboka na maji yanaingia hakuna wazamiaji wa kuokoa, time out of his plans
   
 3. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  this country needs sober leaders

  the economy is in meltdown stage, crooks are governing our people and the few are enjoying the gift of the nation

  God bless this country come 2015
   
 4. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hizo ni porojo tu hana jipya! Lakini kwa bahati mbaya watanzania wataendelea kudanganywa tu!!
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Anachekesha teh teh teh tih!
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,321
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Unajua tukiona matendo kuliko maneno ndio tutaamini yuko serious
   
 7. only83

  only83 JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kajipange ujue namna ya kuwakilisha hoja...kuleta hoja kwa mtindo huu, tena kwenye jukwaa kama hapa JF ni kuishushia heshima JF.
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Anarudia yale yale ya miaka saba iliyopita pale Ngurudoto
   
 9. Kizamani

  Kizamani JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii ni contradiction. Mawaziri kufanya workshop malaysia ni shilingi ngapi kufanikisha hiyo. Hiyo hela haitoshi kununua citi scan moja?
   
 10. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,081
  Trophy Points: 280
  inachekesha au inafurahisha sana eh!!!
  angelitamka hivi baada ya kuwaamsha angalau participants wawili na kutoa overview ya Semina Shirikishi - Ngurdoto na ndio tukajua nini kimefanyika na nini hakikufanyika.
  Je, katika epoch ya miaka 10 'ukizinduka' na kuanza utekeleza mwaka wa saba ni sawa!? labda wenye utaalamu tujuzeni, kizuri alisema hivi akiifahamu wasikilizaji ni akina nani ...TANZANIANS!

   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Idi akihutubia Mawaziri wake....

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hapo kwenye blue kiswahili chake ni SEMINA ELEKEZI????KAMA SIO JE KUNA TOFAUT???,KWENYE RED HAPO NAULIZA UPEPO HAUTAPITA?????
   
 13. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Yale yale ya "dawa iko jikoni, mkakati unafanywa, nitakuwa mkali nk". Jambo moja niwekwe sawa,,ni Mawaziri wote wa TZ wameenda Malaysia kwa ajili ya hiyo semina au baadhi
   
 14. A

  AmaniKatoshi Senior Member

  #14
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 158
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Personally I am not surprised with JK's remark. It is just underlined the truth of his legacy.....everyday new ambiguous but ambitious statements from his government.

  What we need to do is just to pray for his safe exit in 2015
   
 15. W

  WildCard JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Ngurudoto na semina elekezi kadhaa hazikusaidia kitu. Na hili nalo litapita tu. Hatuwezi kuwaiga Malysia katika rushwa na ufisadi huu tuliomo. Hata mishahara tunayowalipa wanaSIASA na watendaji wakuu wa serikali na taasisi za UMMA ni ufisadi uliohalalishwa. Tuendelee tu kuitafuna NCHI hii hadi basi.
   
 16. peri

  peri JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mtoa mada kajipange, sijakuelewa kabisa.
  Kazi gani ndo imeanza?
  Mbona navyojua semina imefanyika dodoma, ya malesya yametoka wapi?
  Uzi wako uko kishabiki sana.
   
 17. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  U cant teach the old dog new technics :eek2:
   
 18. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  sio mbaya as long as inawekwa road map to our future Tanzania. ninachoomba waTZ tuwe waelewa hasa wafanyaazi wa Serikali tufanye kazi,tuache uvivu
   
 19. M

  MTK JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Kama manager atasubiri miaka saba baada ya kuteuliwa kuongoza kampuni ndio azinduke na kutambua basic tenets of efficient management; then on a serious note something is amiss!! hii ni sawa na kukumbuka shuka wakati kumekucha tayari!!
  Imagine JK still retains several dead woods in his cabinet hata aliowapunguza it has to take hasira za baadhi ya wabunge kumkoromea na kutishia a vote of no confidence ndio akurupuke kama vile hajui kwamba a stitch in time saves many! then anawa-recycle wale wale; how on earth does he expect results from such ministers!? God save our country.
   
 20. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,595
  Likes Received: 4,709
  Trophy Points: 280
  Yeye ajiandae kuondoka tu madarakani, haaminiki tena.Ujanja anaojua ni kutumia polisi,jeshi,TISS na mahakama kuzima hoja za wapiga kura wake badala ya kutafuta ufumbuzi.
   
Loading...