Kwanini wafanyakazi wa mashirika ya umma na serikalini hawapigi kelele sheria ya Hifadhi ya Jamii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wafanyakazi wa mashirika ya umma na serikalini hawapigi kelele sheria ya Hifadhi ya Jamii?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jaridotcom2, Aug 7, 2012.

 1. j

  jaridotcom2 Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Jamani nashangazwa hv ni kwa nn wafanyakazi wa mashirika ya umma/Serikalini..mfano walimu,madakitari,mapolisi,Tanesco,TRA hawajapigia kelele hiyi sheria mpya ya kupewa mafao baada ya miaka 55 na kuendelea?..inamaana wao hawako katika mifuko hiyo au inakuaje?.
   
 2. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 884
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Sababu ni hizi;

  1. Ni wazee zaidi
  2. Huko kwenye ma-SU hamna kazi wanazofanya. Ni kuigiza tu u-ofisa
  3. Serikalini ndiyo hata kuigiza hawafanyi
  4. Wakigoma watawekewa doa na itakuwa mwisho wa kukua kikazi
  5. Wengi hawatumii NSSF au PPF
   
 3. j

  jaridotcom2 Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Asante Mkuu umenipa mwanga kama kunamwingine anasababu zaidi naomba aendelee kutililika hapa
   
 4. A

  AUTOMATIC Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unabahati nimemaliza ban juzi tu la sivyo ningekupa kitu mpaka ufurahi. pamoja na yote acha kutumia m....buri kuelezea hili. sisi ndo tunaoumia kuliko mtu yeyote.
   
 5. Mnwele

  Mnwele Senior Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sababu ni mbili:
  Moja;wafanyakazi wa serikali kuu mashirika,wakala na serikali za mitaa wenyewe wana life -span contract. Hawana pressure na kuacha kazi
  Mbili; askar wote hawafall kwenye hii sheria. They have their own act
   
 6. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,959
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Washakubali kuliwa!
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Kwasababu wao wana uhakika wa kufanya kazi hadi wanastaafu!!!
   
 8. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Kuna sababu kuu zifuatazo:-
  1.Kazi ya serikali ina security ya kutosha ukilinganisha na kazi ya sekta binafsi ambapo mwajiri anaweza kumfukuza mfanyakazi wakati wowote kwa sababu zisizo na msingi.
  2.Wafanyakazi wa sekta binafsi wamekuwa makini na michango yao ya pensheni kutokana ajira zao kutokuwa za uhakika tofauti na wale wa serikali ambao hawajui hata hesabu ya pensheni yao siku wanapostaaafu au kazi kusha kwa sababu yoyote.
  3.Ni katika sekta binafsi pekee ambapo mtu anaweza kufanya kazi kwa muda mfupi na kujikuta michango yake ya pensheni inafika milioni kadhaa mfano migodini tofauti na serikalini ambapo michango ya pensheni inakuwa kidogo kidogo kwa sababu ya mishahara midogo
   
 9. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Sababu ni moja tu. Barua zetu zimeandikwa "Appointment under Permanent and Pensionable Terms". Siku ya kwanza unapoajiriwa na kuingia mkataba unajua utastaafu kwa hiari miaka 55 na kwa lazima miaka 60. So unapiga kelele ili iweje?
   
 10. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kwa sababu watanzania ni wapiga kelele tu bila kuchukua hatua
   
 11. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  huo ni upofu kuajiriwa serikalini sio mwisho wa kila kitu kwako kama hutathirika wewe basi watoto wako au jamaa yako ZINDUKA
   
 12. m

  markj JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  mpaka atokeee mtu nje ya watumishi wa umma! awasimamie kwenye hili,mana wao wenyewe hawwawezi! yani sijui hawa watu elimu gani wanayo,yani hata madai yao,mpaka atoke mtu nje ya utumishi wa umma! shame on them
   
 13. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Sasa mapovu ya nini? Hakuna aliyesema ni mwisho wa kila kitu. Mtoa hoja anataka kujua sababu na mimi nimetoa mojwapo na ambayo inaweza kuwa kubwa. Huwezi wewe kuniafundisha umuhimu wa kudai haki leo...Sina cha kujifunza toka kwako.
   
 14. B

  Bob G JF Bronze Member

  #14
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  wameridhika na wizi na rushwa wanazopata wakiwa kazini
   
 15. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Madai yapi jamani? Mtumishi wa Umma mwenye mkataba wa kudumu pensheni ni miaka 55 au 60 basi. Na unapaswa uwe umechangia sio chini ya miezi 180 (miaka 15) ili uwe pensionable. Huku maumivu yapo tangu siku nyingi
   
 16. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hawategemei mishahara wala pension, rushwa na pesa za seminar na trip za kujipangia nje na ndani ya nchi ndo zinawapa kiburi!
   
 17. m

  markj JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  mr liverpool! madai yako mengi! mfano: dr uli na mukoba, hawa jamaa! si watumishi wauma! ila angalia wanachokifanya, watumishi wenyewe kuuza sura tu! au na wewe mr liverpool umo?
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Halafu hili swala la Allowance kukatwa kodi inabidi tulianzishe! Haiwezekani kampuni inanilipa House allowance,Airtime allowance,transport allowance lkn serikali inalamba kodi wakati wao hazikatwi kwanini?
   
 19. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  [​IMG] By Gerrard [​IMG]
  Sababu ni moja tu. Barua zetu zimeandikwa "Appointment under Permanent and Pensionable Terms". Siku ya kwanza unapoajiriwa na kuingia mkataba unajua utastaafu kwa hiari miaka 55 na kwa lazima miaka 60. So unapiga kelele ili iweje?


  Hapo penye red pameniuma sana mkuu hata hivyo usijali naheshimu mawazo yako
   
 20. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #20
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kuna job security ukifanya kazi serikalini au shirika la umma.
   
Loading...