Uenyekiti UWT: Anna Kilango -vs- Mariam Mamuya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uenyekiti UWT: Anna Kilango -vs- Mariam Mamuya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, Aug 8, 2012.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  SOPHIA SIMBA MWENYEKITI UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA,NI KIONGOZI MAKINI ANAYEWEZA KUENDELEA KUWATETEA AKINA MAMA KATIKA TAIFA HILI,UMAKINI WAKE NA UBORA WAKE UNATOKANA NA MABO HAYA BAADHI TU
  SOPHIA SIMBA MWENYEKITI WA UWT NDIYE MWASISI WA SERA YA VITI MAALUMU NDANI YA TAIFA HILI IKIWA NA MPANGO MKAKATI WA KUINUA WANAWAKE KISIASA,VITI MAALUMU VYOTE NDANI YA BUNGE LETU NI ZAO LA SOPHIA SIMBA

  SOPHIA SIMBA NDIYE ALIYEIBUA UFISADI ALIOUFANYA MARIUM MAMUYA KUINGIA MKATABA FEKI NA AIRTEL WALIOJENGA JENGO LILEPALE MOROCCO

  SOPHIA SIMBA AMEIMARISHA OFISI NA UMMOJA WA WANAWAKE KWENYE WILAYA MBALIMBALI HAPA NCHINI,AMEINGIA MKATABA NA NHC KUJENGA NYUMBA ZA MKOPO NA FUUUU KWAAJILI YA AKINA MAMA

  AMEINGIA MKATABA NA PRIDE TANZANIA KUJENGA NYUMBA BABATI ARUSHA NA VIUNGA VYAKE KWAAJILI YA WANA WAKE


  SOPHIA SIMBA NDIYE ALIYELETA MPANGO WA SACCOS KWA WANAWAKE WOTE KUANZIA NGAZI YA VIJIJ HADI TAIFA KWA MASHARTI NAFUUU,MPANGO HUO UMEPANGA KUNZA MAPEMA MWEZI WA 9

  SOPHIA SIMBA ANATETEA KITI CHAKE KAMA MWEYEKITI WA UMOJA WAWANAWAKE TANZANIA NA WATU WALIOKOSA SIFA ZA UZALENDO ,UADILIFU NDANI YA TAIFA HILI..AMEKUWA KAIWASHINDA MARA KWA MARA KWENYE HIZI CHAGUZI.

  Mfano wa watu wanaogombea na SOPHIA SIMBA ni hawa wawili kwanza
  1.MARIUM MAMUYA
  >Huyu anakashifa ya kuuza kiwanja cha UWT kile pale MOROCCO kwenye jengo la AIRTEL jijini DRA ES SALAAM.kiwanja kile kimenunuliwa toka kwa UWT chini ya marium mamuya akiwa kama katibu mkuu wa UWT kipindi hicho.Hii ni kashifa kubwa sana ndani ya taasisi kubwa kama UWT.Sophia simba amefichua ufisadi huo

  Marium Mamuya amejikopesha fedha za UWT zaidi ya MILLION 121 za kitanzania,pesa hizo ameshalipa Tsh.Million 10 tu.
  Marium mamuya ndiye katibu mkuu wa UWT aliyeuza nyumba za UWT jijini dar es salaam kwa mmiliki wa kampuni ya CASPI


  2.ANA KILANGO MALECELA
  Huyu ni mbunge wa SAME mashariki,

  ANAUZAIFU mkubwa sana ndani ya jimbo lake,ameshindwa kupeleka kiwanda cha Tangawizi alichowaahidi wananchi wake,
  Nguzo za umme hadi leo hazijasimama,Pia na kashfa ya kutumia wanaumme kuharibu ummoja wa wanawake jimboni kwake,na hata katika uchaguzi uliopita alitumia wanaume kuharibu uchaguzi ule lakini alishindwa.

  ANA KILANGO MALECELA amekubali kuzibwa mdomo na pesa chafu za RICHMOND ndio maana hadi leo hii hawezi kuinua mdomo wake akazungumzia richmond.

  Pia Anakashifa ya kukutwa na Million 200 zile alizopolwa na majambazi akielekea nazo kwenye uchaguzi kwa ajili ya kusambaza kwa wajumbe mwaka 2005.
  KIMSINGI HAWEZI KUWA MWENYEKITI WA UMMOJA WA WANAWAKE,huyu mama ameshazimwa na pesa za richmond.
  WAGOMBEA WENGINE NITAWATEA UCHAFUA WAO HAPA...UWT lazima iheshimike kama ilivyosasa
   
 2. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana kabisa na msimamo wako...nijuavyo mimi mama kilango ni political feilure. anaiogopa CDM pale same ndo ameenda kujisalimisha kwa UWT...ila sioni kama anaweza akashinda kwa kupiga kwake kelele hovyo...tusubiri tuone
   
 3. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  umemsahau ritta mlaki aliyemkimbia mdee kawe na kukimbilia ubunge wa viti malum kupitia NGO...eti nae anautaka uenyekiti wa UWT ...kweli ndio maana ccm inadharauliwa siku hizi...hadi huyu mama mlaki?..
   
 4. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kwani mama kilango same kumeshamshinda ameamua kuuza jimbo?...au mziki wa M4C umemtisha?...hahahahahahaha kamanda wa ufisadi kumbe nguvu ya soda tu kwisha habari yake..nasubiri kuona simba atakavyowagaragaza.
   
 5. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  hivi na mama yangu alishawahi kuwa mwanachama wa hili genge la wahuni na chakula ya wakubwa,!!? Just thinking loudly!!
   
 6. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  sikuelewi unaposema sophia simba ni muasisi wa viti maalum bungeni una maana gani? kumbuka spika anna makinda aliingia bungeni mara ya kwanza 1975 kama mbunge wa viti maalumu " umoja wa vijana" .kwa maelezo yako una maana hiyo nayo ilikuwa kazi ya uasisi wa sophia simba?
  USHAURI: Hata kama umenunuliwa kufanya kampeni uwe angalau na utu kidogo ,huyu mama simba sio ndio yule alikuwa anatuhumiwa kwa kuleta mipasho katika uchaguzi wa UWT kule dom dhidi mwenyekiti wa uwt dar hadi ikabidi Jk aingilie kati kwa njia ya simu kuwa wamtendee haki mwenzao?
   
 7. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Sofia simba ameshakaa awamu nzima na hana jipya!!!! Afungue njia wenzie watambaeeee! Hana lolote jipya hata sera hana amekalia kufanya character assasination wagombea wenzie!

  Tukomeshe udikteta we mtu ushashika umevurunda unangangania nini!?????? Au anaogopa ubadhirifu alioufanya utaanikwa haswaaaa akichukua anna! Na anajua wazi kuwa anna hatombakisha ndo maana anakalia kumkomalia anna na amemuanza na mariam.

  Eti kaingia mkataba na pride coz pride ni mali ya iddi simba he will back her up tukiuliza?

  Huo mpango wa sccos mpaka mda umeisha haujaanza hata akirudi hautoanza hio ni danganya kubwa

  amekuwa ashinda sababu alikuwa na wapinzani dhaifu sasa kapata saizi yake anna,

  nasikitika sana unavompigia debe mtu kakalia kiti mda wote huo na achievement ya kumsifia huna????? Mtu hana sera zaidi ya kuchafua wenzie??????

  Jimbo halijamshinda kwani kuwa na vyeo viwili dhambi???? You wish jimbo limshinde keep dreaming!!!!
   
 8. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  tusiwaonee watu kwa mawazo yao
  yaani kila mwenye mawazo tofauti nasisi amenunuliwa?...kwa hiyo nawewe umenunuliwa na watu gani?. chunga kauli bana
   
 9. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  mimi nimeelewa kuwa yeye ni miongoni mwa waasisi wa sera ya kuwa na ukomo wa ubunge wa viti maalum...kama nimemsoma vizuri na nimemsikia akikaririwa na media mbali mabali
   
 10. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  sina uhakika sana lakini kutokana na mtiririko wa threads zako humu ndani inawezekana ukawa na benefits na mmoja kati ya hao wagombea unaowatetea.

  basically kwa upande wangu simuoni anna kilango kama kiongozi wa kuongoza jumuiya kubwa kama hii...kilango anafaa kuwa chambo, anatumwa ropoka hili, na yeye anaropoka kama alivyokuwa anafanya mwanzoni.
  tukimuuliza leo huyo mtu unayemtetea ilikuwaje wakaingia mitini katika yale waliyoyaita mapambano dhidi ya ufisadi hawezi kutujibu..

  tukimuuliza leo ilikuwaje wakanyamaza ghafla kwenye sakata la dowans na yeye alikuwa miongoni mwa wapiga kelele wazuri sidhani kama atakuwa na majibu.

  tukimuuliza leo imekuwaje amekaa kimya baada ya serikali kukodisha symbions baada ya yeye na wapinga ufisadi wenzie kuikataa dowand kisha kuikubali kwa mlango wa nyuma sidhani kama atakuwa na majibu ya kueleweka.

  tukimuuliza ni kwanini alisimama kimbelembele kupigania hoja ya kutaka mkuu wa wilaya aingizwe kwenye shehemu ya wasimamizi wa maoni ya katiba mpya na sio mkurugenzi eti madai yake wakurugenzi wengi ni upinzani hawezi kutujibu.

  hivyo basi kwangu mimi simuoni mama kilango kama mpiganaji wa kweli, namuona kama msanii tu wa kisiasa mwenye lengo la kuwapumbaza watanzania kutumia uwanamke wake na sio vinginevyo.

  nasisitiza kuwa mweyekiti wa wanawake hakupimwi kwa kiwango cha kupiga makelele tu bungeni na kuahidi visivyotekelezeka.
   
 11. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  nimekuelewa vizuri sana ndugu saidi kulwa. japo naona tunahitaji ufafanuzi wa kina kutoka kwa kilango lakini kwa hii ngoma sidhani.
   
 12. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  hata mimi nimeelewa hivyo na ndivyo ilivyo
   
 13. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  natamani kusema umepanic lakini hapana. nahisi kuna kitu unata kutuaminisha...tusubiri tukuone mwisho wako
   
 14. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kwenye wanawake mipasho haiwezi kukosekana kamwe...wanawake wenyewe ni full of mipasho...au ulitaka ampatie hip hop kama mipasho haikumfaa?
   
 15. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Msiba kweli wewe msiba tena mkubwa mwanangu. Unachofanya kumtetea Sofia Simba ni sawa na kuruka mkojo ukakanyaga kinyesi. Kimsingi, hakuna msafi CCM. Isitoshe kama Sofia ni mwanzilishi wa viti maalum ambavyo wahuni huita vya chupi basi hana maana kuanzia hapo ukiachia mbali kuwa mdomo wa mafisadi. Kilango ni kweli ni fisadi anayetumiwa na akina Richmond. Huyo Mamuya ndiyo usiseme. Kimsingi UWT kwa vile ni genge la chama cha mafisadi na mafisi haliwezi kuwa na mtu mwenye udhu zaidi ya mafisi wanaowania kuwauza akina mama wa mashambani kama ambavyo imekuwa kawaida yao. CCM imewauza watanzania kwa wawekezaji huku UWT ikiwauza akina mama kwa mfumo dume kiasi cha kutegemea viti vya hisani kana kwamba hawana haki katika nchi yao.
   
 16. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Kauli itasimama kama ilivyo!
  njaa kitu kibaya sana ,kinasababisha watu mnauza utu wenu!
   
 17. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Kauli itasimama kama ilivyo!
  njaa kitu kibaya sana ,kinasababisha watu mnauza utu wenu!
   
 18. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Wadau!!!! Saidi kulwa na mami mimi nipo very objective katika hii ishu situmii past informations wala speculations kutoa acccusations natumia simple facts tu wakuu,

  tatizo watu mnamjudge anna from cdm point of view na kubase on the past encounters.

  Ngoja nitoe mtazamo wangu kuadress your past doubts said kulwa

  tukianza na tuhuma ya uchambo. Ni kweli anna alileta mtikisiko na zile tuhuma alizomwaga na alikuwa na mushkeli kwelikweli ila jambo ambalo nyinyi wagumu kulielewa ni kuwa anna ni mpambanaji ila ni mwanachama wa chama, na bila chama anna hana kitu. Lazima tukubali siasa za bongo chama kwanza, msimamo binafsi baadae, sasa anna inawezekana alichimbwa biti na chama, akaamua ku save herself to die another day! Simply angeendela kuleta kibri wangemtoa, na bila ubunge na ccm nani angemsikia tena ana? She made a smart move kuaknowledge things arent right bt time to fight is not right either! Na kukosa timing ndo kumewamaliza kafulila, hamad rashid, mpendazoe na ndo kunanyemelea kumpoteza zito. I bet u zito atanyamaza tu kwenye hili soo la saa! He is smart. Je ni bora mpambanaji alinyamazishwa au mtu asieona umuhimu wa mapambano????

  Ana ni mpambanaji na ameonesha kipaji sasa mkimuona kobe kainama mjue anatunga sheria, she will rise again watch and see! Siasa za chama nyie hamzijui ukicheza tu u will be reduced to nothing and you will remain silent forever no matter how much you yelll! Wangapi mnamsikia mpendazoe sasa?

  Kurudi kwenye uchaguzi lets be objective (no haiting! No negativity)

  sofia keshaongoza mda wake, awaachie wengine sio kujibinafsishia umoja kama mesi alivojibinafsishia tuzo ya mchezaji bora.

  If she runs again its fine ila wapambe muaccount alichofanya na atakachofanya sio kuponda watu

  kbwa zaidi ni rahisi kumuevaluate mtu ambaye utendaji wake umeonekana, kuliko kumjudge mtu kwa past yake ambayo haihusiani na hicho cheo thats judging and isnt fare
   
 19. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  wapuuzi wakubwa... badala ya kusema nini mtafanya mmeishia kuchafuana ili mchafu kidogo ndio awe madarakani

  sijui lini tutajifunza kwamba haya majumuiya, siasa kwa ujumla na takataka zao zote hazina faida kwa taifa bali ni mchwa wa kula pesa zetu chache na kujilimbikizia expemtions
   
 20. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  If u cant fight them, join them!
   
Loading...