Majina ya makarani wa sensa kata makuburi - ubungo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina ya makarani wa sensa kata makuburi - ubungo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakulwa P, Aug 8, 2012.

 1. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kiambatanisho kinaonyesha zaidi ya majina 50 ya makarani wa sensa kata ya makuburi Jimbo la ubungo yanajirudia. Tunajiuliza inaluwaje jina namba 3 ADELA THOMAS MANKA lionekane tena namba 89 na majina mengine kama mtakavyoyasoma. Mfano jina 4 lipo tena 90, 5 lipo tena 91, 6 lipo tena 93, 7 lipo tena 94. Nimepitia ofisi ya kata asubuhi nikawaona vijana wengi wanalalamika wamepeleka kwa Mwenyekiti wa Mtaa na Diwani wa Kata.
   

  Attached Files:

 2. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hiyo ni technique moja wapo ya ku-justify mafungu hayo. Hujasoma Balance sheet weyeee..!
   
Loading...