Ushauri Wangu kwa Serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri Wangu kwa Serikali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dopodopo Kadopo, Aug 8, 2012.

 1. D

  Dopodopo Kadopo Senior Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katika kipindi hiki ambacho tuna mgogoro na nchi ya malawi ningeishauri serikali ifunge mitandoo yote ya kijamii ilikuondoa uwezekano wa maadui zetu kuitumia kama silaha ya kutumaliza. pia kuna viongozi ambao inatakiwa wadhibitiwe wasiongee kwani kutokana na matendo yao ya kifisadi, kuruhusiwa kuongea kutawakatisha tamaa wanachi pengine hata wapiganaji wetu ambao ikilazimika itabidi waende mstari wa mbele wa mapambano zidi ya malawi.
   
Loading...