CCM makao makuu wapeleka pesa nyingi Washington DC ili kuhonga watu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM makao makuu wapeleka pesa nyingi Washington DC ili kuhonga watu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by baajun, Aug 7, 2012.

 1. b

  baajun JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tofauti na vyama vingine na wanachama wake uchangisha pesa kupeleka nyumabni kwa ajili ya shughuli za uchumi .sasa hivi magamba wameleta pesa nyingi ili kufanikisha ufunguzi wa tawi lao.yaani kuonyesha kuwa kuna watu wengi.watu wamelipiwa tiketi za ndege na malazi wakiwa hapa washington dc.sasa naomba watanzania waishio marekani tutafakari hii kwa makini sana .kwani kuna matatizo mengi nyumbani ikiwa mishahara ya walimu,madaktari,mengineyo.sisi tunaoishi nje tunawajibu wa kuchangia maendeleo nyumbani kama wafanyavyo wamexico na wengine,na sio kuletewa pesa huku.wakati shule hazina madawati ,hakuna chaki,kalamu.tushirikiane kuwatosa ccm tarehe 25 hata kama watamleta mwanamiziki yeyote ,sote tunaweza.
   
 2. c

  chama JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kiangazi kikali hivi unapata nyasi za kutosha!

  Chama
  Gongo la mboto DSM
   
 3. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kuleni pesa yao na baadaye waumbueni kwenye vyombo vya habari. Stori zenu ni ushahidi mzuri wa kuishiwa kwa genge hili hatari la mafisi na mafisadi. Wenye uchungu na taifa letu watakwenda na kurejesha taarifa za rushwa hii ambayo inaanzia ikulu hadi bungeni. Shame on CCM!
   
 4. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Ungetusumulia kiundani zaidi basi, inaonekana unajua mengi ila umetugusia kwa juu sana mwanga mtama humu usipate wasi.
   
Loading...