Sauti huru: Tunajifunza nini kwa vituko vya John Mnyika na Tundu Lissu bungeni?

Jul 24, 2012
81
6
Kimsingi gazeti hili sijui linatumiwa na nani kuwavuruga na kuwachafua mashujaa hawa..? Kwa kusema wanafanya vituko bungeni.. Nimejiskia vibaya sana.. Na kuona kichefucheefu..
 
wakati mabwana hawa wanatetea haki za watanzania wanyonge.. Kwa kweli mnyika na lissu wanafanya kazi nzuri mno bungeni na kusema wanafanya vituko ni kuwaonea.. Pas sababu za msingi
 
naona wanataka kutuvuruga na kutuharibia chadema yetu.. Hasa msim huu wa mwezi mtukufu ..watatuharibia swaum yetu Natamani ningekuwa wazir ningelipiga bann.. Gazet hilo upes
 
Kimsingi gazeti hili sijui linatumiwa na nani kuwavuruga na kuwachafua mashujaa hawa..? Kwa kusema wanafanya vituko bungeni.. Nimejiskia vibaya sana.. Na kuona kichefucheefu..
nakumbuka siku moja SS aliviita ni vigazeti vya hovyo hovyo

sijui ulikuwa unanunua cha nini hivyo vikaratasi
 
hilo gazeti ni uhuru udaku, mwandishi Lukuvi aka kiranja wa nidhamu
 
Mafisadi wako kazini, tutashuhudia vijigazeti vya kila aina kuelekea ukombozi wa kweli hapo 2015, Tuupuuze ujinga huo
 
wanatapatapa tu,waende malawi wakapambane.
wenzio wanachukua nchi wao na udaku tu.
akauonyeshe ukiranja huko kwa bi.malawi
 
Sauti huru, ni ki-jarida cha Mt wa Lumumba na kazi yake ni moja tu- cheap propaganda. Usipoteze hela!
 
Mpaka sasa sijui gazeti gani tanzania unaweza amini walichoandika, kama kweli huwa unaangaria bunge la tanzania huweze kabisa kuwaponda hawa jamaa wawili.
 
nunua mwananchi na tanzania daima kwa habari za uhakika ukinunua sijui mzalendo ,uhuru lazima ukutane na utumbo kama huo kwani magazeti haya yana2miwa na magamba ili kujinasua katka tope zito walimonasa
 
naona wanataka kutuvuruga na kutuharibia chadema yetu.. Hasa msim huu wa mwezi mtukufu ..watatuharibia swaum yetu Natamani ningekuwa wazir ningelipiga bann.. Gazet hilo upes
Chama kitajiharibu chenyewe Gazeti litaharibuje Chama? huko nako kutapa tapa.
 
Kimsingi gazeti hili sijui linatumiwa na nani kuwavuruga na kuwachafua mashujaa hawa..? Kwa kusema wanafanya vituko bungeni.. Nimejiskia vibaya sana.. Na kuona kichefucheefu..
Wote LISSU na MNYIKA wanalo. Mnyika, kabla hatujasahau alivyoiba kura kwa laptope, kashfa nyingine ya nishati na madini. Lissu atakumbana na kusimama kizimbani pale atakaposhindwa kutoa ushahidi dhidi ya SENDEKA, tusubiri tu vi2ko vyao mtazidi kuviona kama bado hamjaamini kwamba ni wa2 wa vi2ko.
 
wanatapatapa tu,waende malawi wakapambane.
wenzio wanachukua nchi wao na udaku tu.
akauonyeshe ukiranja huko kwa bi.malawi

vita ya kuuwa mbu tu imewashinda itakuwa hio ya watu wanaofikiria kuliko sis...eti malawi wanaakiba ya dhahabu kuliko sis

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom