Gazeti hili lina dhana hasi kwa chadema?

SILENT GUNNER

Member
Jan 23, 2012
22
9
Wadau habari zenu,pengine kwa kutofahamu nimekuwa na hisia fulani juu ya gazeti liitwalo mitaa yetu, leo imekuwa mara ya pili kuna mtu amekuwa akigawa gazeti hilo maofisini,siku ya kwanza nilishindwa kumhoji japo kidogo, leo tena kaingia kwa haraka na kutoka huku akiacha gazeti hilo na mara nying lina kuwa na vichwa vya habari ambavyo vinaonyesha “msimamo hasi“ kwa chadema je gazet hili kuna mtu analijua? Ama linamilikiwa na magamba wanaohangaika kujivua gamba? naomba kuwasilisha.
 
Wadau habari
zenu,pengine kwa kutofahamu nimekuwa na hisia fulani juu ya gazeti
liitwalo mitaa yetu, leo imekuwa mara ya pili kuna mtu amekuwa akigawa
gazeti hilo maofisini,siku ya kwanza nilishindwa kumhoji japo kidogo,
leo tena kaingia kwa haraka na kutoka huku akiacha gazeti hilo na mara
nying lina kuwa na vichwa vya habari ambavyo vinaonyesha “msimamo hasi“
kwa chadema je gazet hili kuna mtu analijua? Ama linamilikiwa na magamba
wanaohangaika kujivua gamba? naomba kuwasilisha.

sijawahi kuliona wala kulisikia.
 
Ww wa Da hujaliona mm nipo Tanga nimeliona ktk meza ya magazeti imeandika Cdm kugawanyika
 
Hilo si gazeti ni kipeperushi au tusema gazeti daku au gutterpress. Ogopa magazeti yanayogawiwa bure au yanayoandikwa na watu wasiojua maana ya neno journalism kama vile Tazama na mengine mengi ambayo yamejaa makanjanja wanaotumiwa kama nepi na mafisadi wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom