UVCCM, UWT kwawaka moto!

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Kwa mujibu wa tafiti zinazoendelea kufanywa na SAD Afrika mpaka sasa hawa ndio baadhi ya wagombea wanaoongoza kwenye kura za awali za maoni...

UWT.........1.SOPHIA SIMBA..................36%
2.ANNA KILANGO.................28%
3.THERESA HUVIZA..............18.7%
4.OTHERS............................17.3%

UVCCM MWENYEKITI.
1.JAMALI............................41%
2.MWANA AMINA................39%
3.KOMBO...........................18%
MAKAMU MWENYEKITI UVCCM.

1.SANGO KASERA...............38.6%
2.ANTONY MAVUNDE..........36.4%
3.PAUL MAKONDA................21%
4.OTHERS............................4%
 
Uchaguzi makini c kama CDM uchaguzi wa kuchekacheka mara makao makuu wamepindua wamezalisha blahblah kibao
 
mbona kuna mada nyingi za cdm zinaletwa humu ndani, issue ni kuwajadili hawa vijana tuache uchamanism...kwangu mimi mavunde hafai kwa kuwa ni product ya benno na hakuna kitu benno kalifanyia uvccm for almost 4years zaidi ya kuwa fisadi na kaka yake riziwani,.. MAKONDA ni mnafiki kama baba yake anaemtuma SAMWEL SITA, inafaa atueleze CCJ ilifia wapi...
 
mnahangaika sana, tunasubiri uchaguzi wa mw/kiti wa ccm taifa , katibu na msaidizi wake taifa ni lini? Muwaige chadema na nyie muanze kuchagua mw/kiti kwa kura tuone kama hamta uana hata kwa bunduki
 
Kwa mujibu wa tafiti zinazoendelea kufanywa na SAD Afrika mpaka sasa hawa ndio baadhi ya wagombea wanaoongoza kwenye kura za awali za maoni...

UWT.........1.SOPHIA SIMBA..................36%
2.ANNA KILANGO.................28%
3.THERESA HUVIZA..............18.7%
4.OTHERS............................17.3%

UVCCM MWENYEKITI.
1.JAMALI............................41%
2.MWANA AMINA................39%
3.KOMBO...........................18%
MAKAMU MWENYEKITI UVCCM.

1.SANGO KASERA...............38.6%
2.ANTONY MAVUNDE..........36.4%
3.PAUL MAKONDA................21%
4.OTHERS............................4%


Naomba kuuliza hiyo nafasi ya mwenyekiti ni special seat kwa Zenji? kwani hata kipindi kilichopita mwenyekiti alitoka Zenji. Pia siamini kama kuna vijana makini nchi hii bila kuwa na motive zingine kama maslahi binafsi, n.k bado wako CCM.
 
Mkuu haya si mambo ya ccm weka kwenye blog Yao

kwan huu ni mtandao wa cdm? Hii ni jukwaa huru kwa kila mtu mwenye chama na asiye na chama, ccm, cdm, cuf, tlp. n.k wote wanaruhusiwa. Cha msingi msivunje sheria. Tuache ushabiki usio na maana.
 
ben saanane ebu tupe uhusiano wako na familia ya huyo kasera

Uhusiano gani tena kati ya mjaluo na mchaga zaidi ya kuwa ni watanzania wote? au una lako jambo. Inaonekana Ben ni threat kwa wagombea CCM wakati yeye yuko CHADEMA? kwanini mnaanza kukimbia vivuli vyenu magamba nyinyiem?
 
kwan huu ni mtandao wa cdm? Hii ni jukwaa huru kwa kila mtu mwenye chama na asiye na chama, ccm, cdm, cuf, tlp. n.k wote wanaruhusiwa. Cha msingi msivunje sheria. Tuache ushabiki usio na maana.
Sasa kama unayajua hayo mambo ya CCM ya nini hapa?
 
Yaani nilichogundua ni kwamba ni kweli CCM inaogopa sana CHADEMA (rejea gazeti la Raia Mwema la leo). Na hili la kuogopa CHADEMA, haiishii tu kwa viongozi wa ngazi za juu CCM na serikali yake, bali sasa imesambaa hadi kwa UVCCM. Usije shangaa ukisikia wanaanza kupigana wao kwa wao, ohoooo huyu ni pandikizi la CHADEMA, n.k . Na hii yote ni kwasababu ya dhuluma ambazo CCM imezifanyia wananchi. CHADEMA ingekuwa na dola ungesikia, ohoo hawa nao wameletwa na usalama wa taifa, n.k.

CCM ni chama kikongwe, zee, na outdated, hivyo nawaonea huruma sana wanapoanza kuhusisha CHADEMA hata katika chauzi zake za ndani. CHADEMA hakika ni balaa, ebu ona Mama Kilango anavyotapatapa UWT baada ya M4C kupiga hodi jimboni kwake (rejea alivyolalalmika bungeni majuzi kuhusu ujio wa M4C kwenye majimbo mbalimbali). Mama ameshaona, kwa mwendo wa M4C hakika 2015 Jimbo linaondoka, hivyo anatafuta sehemu ya kuishi.
 
Uhusiano gani tena kati ya mjaluo na mchaga zaidi ya kuwa ni watanzania wote? au una lako jambo. Inaonekana Ben ni threat kwa wagombea CCM wakati yeye yuko CHADEMA? kwanini mnaanza kukimbia vivuli vyenu magamba nyinyiem?
Waache tu mkuu.........
 
uchaguzi wa ccm ni wa kupokezana hivyo mwaka 2008 mkt alitoka zenji na makamu akatoka bara but kwa kuwa Masauni akumaliza muda wake ikapelekea beno malisa kukaimu uenyekti, ndio mana this time wakaamua kuwa mwenykt atoke zenji tena na makamu bara thats why but kete ni ya kupokezana.
 
Back
Top Bottom