Nyerere amtetea Zitto Kabwe.

Unatafuta ugomvi na wachaga, wamekwisha mpanga puppet wao.
 
Tunafahamu woga walionao CCM kama CHADEMA watamsimamisha Dr. Slaa, kwahiyo juhudi zao na propaganda zao za kujaribu kuleta mfarakano ndani ya CHADEMA zinaeleweka, tunafahamu kwamba VIBARAKA mtatumika katika suala hili, mbinu zenu tunazijua na namna ya kukabiliana nazo tunafahamu, adhabu ya vigogo na vibaraka wao inafahamika, hata mfanye propaganda zipi ANGUKO LENU 2015 HALIKWEPEKI, nasikitika sana kwa ujinga unaowafanya vibaraka msaliti wananchi na ndugu zenu masikini, TAFAKARINI SANA, KWANI MUDA BADO UPO.
 
Sasa hapo unamaanisha kibaraka ni Nyerere au nani? Maana maneno yamesemwa na Baba wa Taifa, mwalimu Nyerere. Kweli Nyerere aliona mbali!!!
 
Hiv Watanzania kwanini tunaacha kufikiri, kazi kunukuu kila alilolisema Nyerere na kugandia hapohapo...
Tuna wasomi kibao, watu wenye akili timamu na wanaoweza kufikiri mawazo mapya na kuacha huu mgando wa mawazo eti ni kumuenzi mwalimu..
 
Kwani alichokisema mwalimu katika hili kina ubaya gani?
 
Sasa hapo unamaanisha kibaraka ni Nyerere au nani? Maana maneno yamesemwa na Baba wa Taifa, mwalimu Nyerere. Kweli Nyerere aliona mbali!!!

we chinja chinja vipi? Badala ya kuijenga ccm yenu unajifanya unamtetea zito. Acheni unafiki kujifanya mnamtetea zito kumbe udini na uchonganishi umewajaa. Na safari hii mmenoa. Kampeni yenu imeshindikana, mkitaka kumuweka mzenji ndo kabisaaaaa! Naona mnajaribu kete yenu kwa zito, hamtaweza na mtaendelea kuabika.
 
Mzee wa crossroads, acha chuki. Swala la dini limeingiaje hapa?
 
Kosa la Zitto ni kuutaka Urais kupitia chadema. Subutu wampe fursa hiyo, atamaliza waganga wote wa Kigoma.
 
Kama Chadema wako serious watauacha mchakato uwe huru na wa haki. Katika mazingira hayo yeyote anaweza kuibuka mshindi.
 
Hotuba ya Nyerere kuhusu Viongozi wazuri ni hii hapa.

Last edited by a moderator:
jamaa anasubiri huruma ya magamba ktk rushwa.Atakuwa mlaini sana, aombe Mungu huo uzalendo, sijui na nini vya kumtosha kuwa amiri jesh mkuu viwe alivitumia alipokuwa kaikaribia mtaa wa vishawishi rushwa TANESCO
 
Back
Top Bottom