Naibu Waziri apata ajali mbaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naibu Waziri apata ajali mbaya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, Aug 7, 2012.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Naibu Waziri wa Afrika Mashariki Mhe. Abdallah Abdallah amepata ajali mbaya maeneo ya Kongowe (Kibaha).

  Hali yake si mbaya sana, amepata majeraha kidogo kichwani lakini dereva wake yupo hali mbaya kakimbizwa Tumbi Hosp.

  Napenda kumpa pole kwa ajali hii, na kumtakia dereva wake afya njema, apone na kurejea kazini


  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
  Yeye kasalimika!

  [​IMG]
  Dereva akiwa Tumbi

  [​IMG]
  Waziri Membe akimjulia hali Dereva wa Naibu Waziri hospitalini Tumbi

  [​IMG]

  [​IMG]
  Mhe. Mwantumu Mahiza alikuwepo pia
   

  Attached Files:

 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Nini sababu ya ajali?
   
 3. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Duu.....! ni habari ya kusikitisha Nawaombea wapone haraka.
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  isije ikawa free mason wanataka kumtoa mtu kafara maana mhh
   
 5. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Najaribu kuambatanisha na picha ya gari lake
   
 6. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Wapone haraka, nini chanzo cha ajali?
   
 7. S

  Sessy Senior Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tunampa pole ninamuombea Apone haraka
   
 8. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Tunasubri
   
 9. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkuu naamini kwako muda mrefu tutapata full covarage, poleni sana majeruhi. Mungu awaponye.
   
 10. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Sahihi kabisa mkuu hapo ndo thread itakamilika, huyu naibu mzanzibari eee?
   
 11. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Du! pole zao kwa kweli, tunawaombea wapone haraka
   
 12. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,312
  Likes Received: 2,601
  Trophy Points: 280
  dah! kibaha kwa ajali naona inshindana na bagamoyo, handeni na maeneo fulani ya hai(sadal, boma)...anyway Mungu awape uzima warejee katika afya njema.
   
 13. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Haya mashangingi ya v8 wanayonunua kwa kudhurumu watanzania itakuwa
  sara zimefika kwa Mungu :A S 101:
   
 14. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,195
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Du! Dereva kama angekuwa na jimbo!!!!!!
   
 15. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 180
  Huyu mzenji alijitahidi sana kujibu maswali kwa ufasaha wakati wa bajeti yao
   
 16. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mungu hamjalie kupona haraka.
   
 17. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 711
  Trophy Points: 280
  pole zake
   
 18. k

  kachwamayebe Member

  #18
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nampa pole sana,alikuwa anatoka wapi anakwenda wapi,walikuwemo watu wangapi katika gari,yeye mh, kapelekwa wapi na imetokea{ajali} saa ngapi
   
 19. miss strong

  miss strong JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 7,027
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Dereva tumbi,Naibu india
   
 20. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #20
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,230
  Likes Received: 815
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye nyekundu ilitakiwa isomeke 'amjalie'
   
Loading...