Diplomasia itumike kutatua mpaka wa Tanzania na Malawi

chambilino

New Member
Jul 3, 2012
4
0
Viongoz wetu wanapaswa kuwa makini kwenye jambo hili tena kwa kipindi hichi ambacho tumegundua kuwepo kwa rasilimali ya mafuta, gesi na makaa ya mawe. Ipo kila sababu ya kuwafanya super power kuingilia jambo hili ili waweze kujichukulia mali zetu bure. Sisi hatuna kiwanda cha kutengeneza silaha, tutatumia vibaya fedha zetu za kigeni kwa matumizi mbayo kwa upande mwingine sio ya lazima sana. Najua wapo watakao sema mipaka lazima ilindwe ila iwe kwa demokrasia.
Mungu ibariki Afrika
 
Back
Top Bottom