Samwel Sitta: Tanzania iko tayari kupambana na aina yoyote ya uchokozi kutoka Malawi!

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,132
1,571
Nimeshtushwa na tamko ambalo amelitoa muda huu bungeni kuwa Serikali ya Tanzania iko tayari kwa uchokozi wa aina yeyote kutoka Malawi na ametoa tamko hilo kama kaimu waziri Mkuu .

Tamko hili kalitoa kwa niaba ya Serikali sasa hii ni hatari kama Kaimu waziri Mkuu anaweza kutangaza vita na hii ni kinyume na katiba yetu mwenye mamlaka hiyo ni Rais ambaye ni Amir Jeshi Mkuu.
Hajatangaza vita hapo. Amesema iko tayari kupambana na uchokozi wa aina yeyote kutoka Malawi.
 
Malawi wanataka Lake Nyasa ambalo wao wanaliita Lake Malawi liwe lao lote,, wanasema Watanzania wana maziwa mengi sana pamoja na bahari ya Hindi so its better tuwaachie Lake Nyasa/Malawi liwe lao 100%.. So they started exploration ya mafuta na gas mpaka wanakaribia kuingia Mbinga sasa..
 
Nimeshtushwa na tamko ambalo amelitoa muda huu bungeni kuwa Serikali ya Tanzania iko tayari kwa uchokozi wa aina yeyote kutoka Malawi na ametoa tamko hilo kama kaimu waziri Mkuu .

Tamko hili kalitoa kwa niaba ya Serikali sasa hii ni hatari kama Kaimu waziri Mkuu anaweza kutangaza vita na hii ni kinyume na katiba yetu mwenye mamlaka hiyo ni Rais ambaye ni Amir Jeshi Mkuu.

Usimlishe maneno, yule bwana ana busara anajua mwenye mamlaka ya kutangaza vita ni amiri jeshi mkuu pekee; alichofanya ni kuwaweka sawa wanachi kwamba serikali iko macho kuhusu hali hiyo ili kuondoa dukuduku miongoni mwa wananchi.
Tofautisha kauli ya Sitta na hii hapa:
"Sasa tutampiga nduli iddi Amin;
Nia ya kumpiga tunayo;
Sababu ya kumpiga tunayo na
Uwezo wa kumpiga tunao".

J.K. Nyerere; October 1978.
 
MKuu unatumia akili gani leo, ile ya kawaida au ile hasi?:baby:
 
Malawi wanataka Lake Nyasa ambalo wao wanaliita Lake Malawi liwe lao lote,, wanasema Watanzania wana maziwa mengi sana pamoja na bahari ya Hindi so its better tuwaachie Lake Nyasa/Malawi liwe lao 100%.. So they started exploration ya mafuta na gas mpaka wanakaribia kuingia Mbinga sasa..

Wachukue tu sisi tumelala tupo bize na siasa na migomo bora wachukue ziwa lote!
 
Malawi wanataka Lake Nyasa ambalo wao wanaliita Lake Malawi liwe lao lote,, wanasema Watanzania wana maziwa mengi sana pamoja na bahari ya Hindi so its better tuwaachie Lake Nyasa/Malawi liwe lao 100%.. So they started exploration ya mafuta na gas mpaka wanakaribia kuingia Mbinga sasa..

kwa hilo hap wanachokoza ...ila in other word wacha wachimbe sisi mboyoyo nyingi hatuwezi hata kuchimba ila wasiingie kwetu nchi kavu
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Usimlishe maneno, yule bwana ana busara anajua mwenye mamlaka ya kutangaza vita ni amiri jeshi mkuu pekee; alichofanya ni kuwaweka sawa wanachi kwamba serikali iko macho kuhusu hali hiyo ili kuondoa dukuduku miongoni mwa wananchi.
Tofautisha kauli ya Sitta na hii hapa:
"Sasa tutampiga nduli iddi Amin;
Nia ya kumpiga tunayo;
Sababu ya kumpiga tunayo na
Uwezo wa kumpiga tunao".

J.K. Nyerere; October 1978.

Amesema kuwa " wananchi wa Mikoa ya Mbeya,Iringa na Ruvuma wasiwe na wasiwasi kwani Tanzania iko tayari kupambana na uchokozi wowote ule kutoka kwa Malawi"

Hii ni kauli nzito ya kuashiria kuwa tayari kwa mapambano na Malawi ni kauli ya kutangaza Vita na ni kinyume na katiba angeweza kusema kuwa tuko macho na tunafuatilia kinachoendelea ila kusema tupo tayari kwa mapambano na uchokozi wowote ni vita hiyo......huku ni kutangaza na sio kwamba namlisha maneno./
 
Atleast kavunja ukimya! kwani hizi habari tumekua tukizijadiri sisi wabunge wa jamii na serikali ilikua bado ipo kimya..Tulitegemea AMIRI JESHI MKUU jana agusie japo kwa nukta tu kua mipaka ya nchi yetu sio SALAMA lakini kimya mie nadhani tumpe hongera mh SITA kwa ujasiri wake kwani BETTER LATE THAN NEVER kama hawa MALAWI wakishapata hayo mafuta na ukizingatia makampuni ya uchimbaji ni ya UINGEREZA kwao maslahi kwanza na itakua ngumu eti hiyo km hiyo iamuliwe na UN, obvious UK ita side upande wa MALAWI kwani wana interest..Nini serikali inapaswa kufanya ni kuieleza MALAWI kua uchokozi km huo haukubaliki wa kusema ziwa lote ni lao, pia ni kuwaonya very strongly hao raia wa UK wenye makampuni kua NEVER CROSS TO OUR TERRITORIAL WATER na wakikiuka wakamatwe na washitakiwe kwa sheria za TZ that will sound better to them all kwani ata hao UK wanajua kua dispute area btn MALAWI -TANZANIA ni ktk ziwa sasa kwanini wafanye uchimbaji wa mafuta?
 
Nimeshtushwa na tamko ambalo amelitoa muda huu bungeni kuwa Serikali ya Tanzania iko tayari kwa uchokozi wa aina yeyote kutoka Malawi na ametoa tamko hilo kama kaimu waziri Mkuu .

Tamko hili kalitoa kwa niaba ya Serikali sasa hii ni hatari kama Kaimu waziri Mkuu anaweza kutangaza vita na hii ni kinyume na katiba yetu mwenye mamlaka hiyo ni Rais ambaye ni Amir Jeshi Mkuu.

hopeless, usiandike vitu usivyo na hakika navyo.....em soma upya upuuzi wako afu useme wapi amesema anatangaza vita?? unajua maana ya kutangaza vita?? au unalaumu tu wakati hujui ukweli wa mambo?? kama hamjui, muwe mnauliza kwanza.........leo ni nimeamini,"artifial education is no match to natural stupidity"..................
 
We waache... Sie tunawacheki tuuu.. Na hivi wanajeshi wetu hawaja practice vita siku nyingi..
 
Amesema kuwa " wananchi wa Mikoa ya Mbeya,Iringa na Ruvuma wasiwe na wasiwasi kwani Tanzania iko tayari kupambana na uchokozi wowote ule kutoka kwa Malawi"

Hii ni kauli nzito ya kuashiria kuwa tayari kwa mapambano na Malawi ni kauli ya kutangaza Vita na ni kinyume na katiba angeweza kusema kuwa tuko macho na tunafuatilia kinachoendelea ila kusema tupo tayari kwa mapambano na uchokozi wowote ni vita hiyo......huku ni kutangaza na sio kwamba namlisha maneno./

tatizo mmezoea kauli laini za jk.!
 
Back
Top Bottom