Iddi Simba kuhamia CHADEMA

Status
Not open for further replies.

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
647
266
Baada ya kuwaudhi watu ndani ya CCM na wao kumuandalia mpango kabambe wa kumfilisi baada ya ile skendo ya UDA kuna tetesi zimeenea hapa mjini kuwa IDDI SIMBA yuko mbioni kuhamia CHADEMA

narudia hizi ni tetesi lakini kama mtu Iddi Simba leo akihamia CHADEMA naamini kuwa yale mashamba yooote yaliyopo ngara aliyowauzia wamarekani yatarudi mikononi mwa wa Tanzania.

M4C for life!
 
2ahxops.jpg
 
Baada ya kuwaudhi watu ndani ya CCM na wao kumuandalia mpango kabambe wa kumfilisi baada ya ile skendo ya UDA kuna tetesi zimeenea hapa mjini kuwa IDDI SIMBA yuko mbioni kuhamia CHADEMA

narudia hizi ni tetesi lakini kama mtu Iddi Simba leo akihamia CHADEMA naamini kuwa yale mashamba yooote yaliyopo ngara aliyowauzia wamarekani yatarudi mikononi mwa wa Tanganyika.

M4C for life!

abaki uko uko ameshapoteza mvuto huyo
 
nikafikir ni mutu mwenye ushawish ndani ya jamii kumbe hata ccm wamemchoka! Aende tlp
 
Iddi Simba is a political has been. He is of no use to any political party. He has missed his opportunity to be an elder statesmen.
 
.IDD SIMBA CHADEMA HAWEZI KUKUBALIWA KAMWEEEEEEEEEE

Nakataa, nakataa, nakataa japokuwa mimi ni kidampa tu CDM, lakini ninaamini kabisa Idd Simba akiomba kuhamia CDM atakataliwa kama vile mtu anayeumwa kichaa cha mbwa anavyoyakataa maji.

Ikumbukwe kwamba CCM imezalaurika mbele ya jamii kwa mtindo huo huo wa kukiuka maadili yake iliyojiwekea kwamba uadilifu ni moja ya vigezo vya watu kukubalika kukiongoza. Baada ya waasisi wa chama hicho kutangulia kwenye haki, basi wahuni wakakivamia chama chetu tunachokipenda matokeo yake sisi wakulima , wafanya kazi, wavuvi na wakwea minazi tukawa siyo kitu mbele ya chama cha CCM.

Baada ya matajiri kukivamia chama hicho ndipo kimepoteza mvuto kabisa na sasa kinakufa pole pole, wakati ule watu kama hao walikuwa hawakubaliki kamwe, sasa Idd Simba aende CHADEMA akafanye nini?

Watu wafuatao kwa tabia zao hawafai kabisa kuwa viongozi wa chama chochote iwe CCM, CHADEMA CUF n,kna wakiwa viongozi wa vyama kati ya hivyo nilivyovitaja basi chama hicho kitakufa polepole kama mtu afae kwa corbon monoxide poisoning.

I. IDD SIMBA
II. ROSTAM AZIZ
III. ADEN RAGE
IV. ANDREW CHENGE
V. KARAMAGI

Na wengine ongezea. ( muliokaribu na Nape Nnawie mwonyesheni asome haya.)
 
Baada ya kuwaudhi watu ndani ya CCM na wao kumuandalia mpango kabambe wa kumfilisi baada ya ile skendo ya UDA kuna tetesi zimeenea hapa mjini kuwa IDDI SIMBA yuko mbioni kuhamia CHADEMA

narudia hizi ni tetesi lakini kama mtu Iddi Simba leo akihamia CHADEMA naamini kuwa yale mashamba yooote yaliyopo ngara aliyowauzia wamarekani yatarudi mikononi mwa wa Tanganyika.

M4C for life!

Mtoto wa Kiume pekee wa IDD SIMBA ameoa kwa BOB MAKANI yule Daktari bingwa wa

Sickle Cell kwahiyo itakuwa kama waliongea vile Lakini IDD SIMBA Mmmm Ni

Mtoto wa SAIGON, Mikono yake imepita sehemu nyingi kweli ana Mali ndio lakini

Kazidodosa kivyake vyake; lakini alikuwa MALI anazo tangu hajaingia kwenye

siasa za CCM haulinganishi na kina Malecela, Mramba, Riz1, Yona, Mkapa, n.k
 
Kwakweli mtoa mada leo umeangaika sana kuichafua cdm.

Yan pamoja na kuja na nyuzi lukuki umeambulia patupu!

Nakushauri tena ujipange upya.
 
Idd Simba...that is not an asset but a liability. Aendelee kukaa alipokaa.
 
hapana haiseee, yaani nii kheri EL kuliko huyu IS , ahamie CHAUSTA, seat zimejaa M4C
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom