Naibu waziri wa nishati na madini kuongea na wananchi wa wilaya ya kasulu leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naibu waziri wa nishati na madini kuongea na wananchi wa wilaya ya kasulu leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by hendeboy, Aug 8, 2012.

 1. hendeboy

  hendeboy JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wakuu naibu waziri wa wizara ya nishati na madini atarajia kufanya mkutano wa hadhara na wananchi wa kasulu mjini mojawapo ya mambo atakayoongelea ni pamoja huduma ya umeme kasulu maana toka miaka hamsini ya huru wilaya hiyo ndo imewezakupata huduma ya umeme.

  habari zaidi ntawajuza hapo badae
   
 2. K

  Kiyoya JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,280
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Vipi vifaa vimefika- naona umeme ni baadhi ya mitaa tu-Keep up Kg na iwe gharama kubwa kurudi Mabwepande!LEKA DUTIGITE
   
 3. jobe ayoub

  jobe ayoub JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 206
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kama isingekua ufisadi na wizi wa kura,kwa jimbo ya buyungu-eng chiza,
  kigoma mjini-serukamba na manyovu obama wote magamba'z.
  basi mkoa mzima ingekua upinzani..kule tumeshaifuta ccm vichwani.Rais kikwete anajua.
  sasa huy NW akiongea pumba! liwalo na liwe
   
 4. k

  kajunju JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Nimemsikiliza mh machali,kafulila na mh masere. Masere kaongelea umeme. Ufisad ni mwngi.uongo nao ulikuwa mwingi.machali kaishambulia chadema kuwa wanamuandama. Kwa tathmin yangu mkutano huu ulikuwa very strategic kumsafisha machali na nccr kuhusu mh kafurira. Machali mwez wa nov mwaka jana alifanya mkutano na kumponda kafulira. Watu walimjia juu mh machali na tangu wakt huo hajawaifanya mkutano hapa stend kuu mjini. Kwa kuwa cönflict ya mh machali na kafurira wameshazimaliza. Wamemtumia waziri masere. Kweli mtego huu wananchi hawakustuka lakin sikuona jipya. Meneja wa tanesco aliyepaswa kujibu tuhuma hakuwepo eti amesafiri. Masere katoa had tarehe 30 mwez huu watu waliolipa kuingiziwa umeme,wawe wameunganishiwa umeme
   
Loading...