Mazungumzo yanayohusu bahari ya hindi kati ya wajumbe wa tz na mataifa ya nje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mazungumzo yanayohusu bahari ya hindi kati ya wajumbe wa tz na mataifa ya nje

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by arinaswi, Aug 8, 2012.

 1. a

  arinaswi Senior Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari za jioni wakuu the great thinkers.

  katika habari za tbc leo usiku nimeona wanasema kuna ujumbe umeenda amerika ili kuenda kudai eneo la bahari ya hindi. ninaomba munieleweshe maana yake ni nini? je ina maana hiyo bahari siyo yetu? na ni ya nani na kuanzia lini? nahofia yasije yakawa ya ziwa nyasa/malawi tena

  nitashukuru sana kwa maelezo yenu jamani
   
Loading...