Polisi waendeleza madudu muleba

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,551
1,777
Katika hali ya kushangaza polisi wilayan Muleba wamemdhalilisha hakimu wa mahakama ya mwanzo kwa kumpiga pingu hadharani kwa sababu za uzushi zilizotokana chuki binafs baina ya hakimu na polisi ambao wanaishi eneo moja.njama ya ktmdhalilisha hakimu huyo ziliongozwa na wakuu wa polisi nyanja zote wilaya.na kilichokuwepo ni kwamba hakimu huyo ameandikiwa charge ya kumtishia polis siliha..ntaendlea kuwajuza kw kuw nipo mbali na tukio ila nna chanzo kutoka huko.
 
tutaanza kuwaua polisi sasa kwa kuwasingizia wezi! mana wanatukera mno! dawa yao ni kuwaasi hawa ma mbwiga
 
Both parties are corrupt entities. Huenda walilizana katika mishemishe zao za ufisadi hao. Acha wafu wazikane wenyewe.
 
ila kwakuwa polisi hawana hakili na hawajasoma hata kidogo! ngoja kesi ifunguliwe alafu uone watakavyozidiwa maarifa na mahakimu! mana ishakuwa bifu kati ya mahakimu na hawa walinzi wasio naelimu! huyo kova wao tu kashindwa kujielezea ndo itakuwa hao watoto
 
Naona mtoa mada keshahukumu polisi; hakimu akiwa na kosa hatakiwi kutiwa pingu? Na kwanini tuiamini hukumu yako?
 
Du nina dada yangu ni hakimu wilaya ya Muleba huko lisije likawa limempata la kumpata bure
 
Katika hali ya kushangaza polisi wilayan Muleba wamemdhalilisha hakimu wa mahakama ya mwanzo kwa kumpiga pingu hadharani kwa sababu za uzushi zilizotokana chuki binafs baina ya hakimu na polisi ambao wanaishi eneo moja.njama ya ktmdhalilisha hakimu huyo ziliongozwa na wakuu wa polisi nyanja zote wilaya.na kilichokuwepo ni kwamba hakimu huyo ameandikiwa charge ya kumtishia polis siliha..ntaendlea kuwajuza kw kuw nipo mbali na tukio ila nna chanzo kutoka huko.
Sipingi hata kidogo kwamba hakimu anaweza kukosea lakini katu siungi mkono kitendo hicho cha hao mapolisi. Ikiwa ni kweli kimetokea, kitendo hicho kitashusha kabisa hadhi ya asasi muhimu hiyo. Ziko njia kadhaa za kumchukulia hatua lakini hiyo ya polisi kumtia pingu hadharani hata kama asingekuwa hakimu haswa ukizingatia kwamba kwa wadhifa wake asingeweza kutoroka au kuukimbia mkono wa sheria kutokana na kosa dogo analotuhumiwa nalo. Binafsi na wenye mapenzi mema kwa asasi hiyo tunalaani kwa dhati kitendo cha kihuni hicho cha polisi na tunasubiri kwa hamu kusikia tamko au hatua zitakazochukuliwa na idara ya mahakama kuirejesha imani na heshima ya taasisi hiyo inayopigiwa kelele kwamba imechakachuliwa na chama tawala CCM na kama ilivyo polisi inafanya kazi kwa maelekezo ya chama tawala!
 
Visa na visasi ni mfumo unashmairi kwenye vyombo vyetu vya dola
 
Hakimu wa mahakama ya Tz? Apigwe pingu hadi miguuni. Wananuka rushwa, wanamilikiwa na sirikale
 
Hakimu wa mahakama ya Tz? Apigwe pingu hadi miguuni. Wananuka rushwa, wanamilikiwa na sirikale

Hakimu anatuhumiwa katishia kutumia silaha PINGU, Pedeshee Papa Msofe anatuhumiwa kuua No PINGU??? Hii ndio Polisi yetu Tz

PAPAAMSOFE1.jpg
 
Visa na visasi ni mfumo unashmairi kwenye vyombo vyetu vya dola
 
Back
Top Bottom