Chadema na pigo la mameya, ccm na vurumai la vijana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema na pigo la mameya, ccm na vurumai la vijana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwafrika daima, Aug 8, 2012.

 1. m

  mwafrika daima Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kufuatia kufukuzwa kwa kundi zima la mameya wa chadema ( mameya 6 yaani 100% ya mameya wao wote) kwa tuhuma za wizi, rushwa na ubaradhuli wao. vijana wa CCM waendelea kung'ara. huyu ni mmoja wa vijana ndg. John Deya (wa kwanza kulia) walioamua kujitosa kwenye uchaguzi wa makamu m/kiti UVCCM Taifa.
  v[​IMG]
   
 2. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,682
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Arrrrggghhhh! Kumbe umejiunga sasa hivi? Karibu basi.
   
 3. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  ukiwa na kichaa utajulikana tu!
   
 4. mangikule

  mangikule JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 3,177
  Likes Received: 1,259
  Trophy Points: 280
  You too junior!!
   
 5. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  member wapya huwa mna matatizo sana mkijiunga JF...
  any way karibu sana ukishalizoea jukwaa utapunguza munkari........
   
 6. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  YOU'RE WELCOME DESPITE HUSSY LIKE PERSON, and hereunder is your joining history;

  Join Date : 8th August 2012

  Posts : 1

  Rep Power : 0

  Likes Received
  0

  Likes Given
  0

   
 7. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Nahisi ndiyo huyo huyo Deya anajipigia promo tena umeingia na mguu mbaya! Pole sana. Na ushukuru leo ni sikukuu ungehamaki na roho yako. Humu ukiingia lete mambo ya msingi porojo mkafanyie pale makutano ya barabara ya morogoro na lumumba kwenye jengo lenye mwenge!
   
 8. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Kha! So what's the correlation here?
   
 9. A

  Aristides Pastory JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ....Ningependa Mods. wasitishe zoezi la upokeaji wanachama wapya mpaka matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 YATAKAPOTANGAZWA.....
   
 10. JOMAM

  JOMAM JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  kimsingi,sinahuakika kama ni deya ila anaweza kuwa shabiki wake,mimi nimepata kumfahamu huyo deya mnayemwongelea kada wa chama cha mapinduzi aliyeibuka na sera ya vijana kuishi mjini akiwa na wafuasi wengi ndani ya jiji kabla ya kupelea kula za maoni na kuondoka kwenye ushindani sera ambayo ndiyo mbunge wenje aliyoitumia kumwangusha masha akikopi maneno yaleyale,ukiuliza wamacinga kuhusu nani aliyeanza kuwatamkia vijana kuishi mjini watakwambia na hasa mchango alio utoa ndugu deya,.Ndugu deya kijana mwanaharakati ndani ya jiji ndiye mwasisi wa chama cha daladala wakifanya sambamba na ndugu Maurice mara kadhaa ameonekana katika vipindi vya tuongee pale star tv alipoibua hoja ya tuhuma na ubadhilifu wa bajet ya jiji la mwanza linalokusanya bilion 8 na kutumia bilion 62 karibu mara nane ya linachokusanya,ufafanuzi ukitolewa wa secta ya daladala ambayo kwenye budjet ya jiji imeandikwa inaingiza mlion 200 kwa mwaka. kimsingi nikinukuu maneno yao kabla ya kuanguka mea kwenye moja ya vikao vya wadau wa daladala wanasema,"budget ya jiji imeainisha kuwa mwanza kuna daladala 1152 recod ambayo si sahii lakini tuitumie hiyo kila route ina tozwa 250 mzunguko ni 500,lakini daladala zinakwenda kati ya route 8 mpaka 12,ukitumia avarage ya route 10,na ukachukulia ni daladala1000 tu ndo hufanya kazi kwa siku.Jiji la mwanza linaingiza milion 5 kila siku katika secta ya daladala,ambapo mara mwaka bilion 1.8 lakini kilicho andikwa wote mkasome bujet ya mwaka wa fedha ulioish ni milion 200. huu ni wizi.meya chadema wabunge wote chadema na mkurugenzi ccm,"mwisho wa kunukuu wakahasisi chama cha daladala wakilenga kupambana na udhaifu huo,mkifika mwanza au kwa wa kazi wa mwanza wakiuliza mtakuta,kwa harakati nyingi na jitihada zao zili fanya nijue wazi deya ni mtu makini ndio maana nasema aliyeandiki hapo anamjua deya na anajua ufanisi wake hata kama hawezi kuelezea
   
 11. JOMAM

  JOMAM JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  kwayeyote anaekana na anaakili timamu aende akahakiki afu aje anijibu na ushahidi uliothibitishwa
   
 12. JOMAM

  JOMAM JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  imani yangu inasema wazi watu wote wanayoheki ya kutoa mawazo pengine anayeongelewa ndo uluitaji kumjua,ila kwa tabaka ila chini na raia wanaotafuta maisha na kujikimu kila siku seya si neno geni kwao na sentesi hiyo fupi ingetosha kutoa coment zao
   
 13. m

  mwafrika daima Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unafikiri mambo ya msingi ni yapi hayo?. Usipotoa suport kwa vijana wanaojitokeza, utabaki kuwa na mambo ya jikoni, inaonekana ni tabia yako kujipa promo. Mi namsaport na nampa big up sana. Kaza buti mkikomboe chama
   
 14. JOMAM

  JOMAM JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  mimi naamini kwa sisi tunaomfahamu deya tunaelewa umuhimu wake,mara kadhaa amevikosoa vyama pande zote mbili hata kudilriki kukosoa chama chake pia pale yeye na wananchi walipoamini yanayojiri si sahii.ni deya aliyeanza kwa kueleza wazi watunga sheria wa mji ndiyo ndiyo mnao wachague then wanawafukuzeni, wakati swaiba wake mkuu ndugu maurice akifafanua dhana ya sh mia na maisha bora kwa kila mtanzania ninaikumbuka vizuri kauli yake ndugu maurice nanukuu maisha bira yatakamilika kwa dhana hii,mruhusuni mmachinga auze mia, muindi nae akae dukani auze 1000,wanaotaka kununua kwa muindi waende,mwenye mia apeleke mia kwake,atoe kodi ya mia japo haipo na na mnunuaji apeleke cha mia kwake,yaani serikali ifanye maendeleo ya sh 100 huku mmachinga akila mia yake na mnunuaji akiwapa wanae cha mia. lakini kwa kitendo cha mmachinga kufukuzwa kama ndani ya jiji wako 5000 basi serikali inapoteza sh laki tano kila siku ambayo inaweza kuitumia tujenga hospitali au kununua dawa" maneno ya maurice alipokua akinadiwa na ndugu deya kabla ya kura za maoni august mosi 2010, hili wafanyabiashara ndogo ndogo wanalijua na hawaitaji kuambia si chadema waliolileta ila waliliendeleza,ndiye deya tunaemwona leo akiwasaidia wadau wa daladala,lakini ndiye deya anae fanya sambamba na chama cha pickpick mwanza,kijana wa mwl anae tembea kand ya mdomo wa risasi akipigania maslai ya wanyonge yeye na swaiba wake maurice!kuchukua kwake form uvccm kama chama kita mwona ni tija sana vijana taifa la tanzania na ukanda wa africa kwa ujumla
   
 15. m

  mwafrika daima Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Have you not seen the corollation?. Watanzania tumekuwa tukiaminishwa katika mabadiliko,kumbe ni gear ya kundi fulan kutafuta namna ya kula,hawana lolote. Big up sana john deya. Leteni mabadiliko kwa vijana wenzenu. We akili yako iko hovyo na hauna maendeleo ndio maana huoni tofauti. Acha mambo yako ya kizamani, nenda kanywe uji
   
 16. m

  mwafrika daima Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa hakuna munkari wala nini,kumbuka taifa hili litakombolewa na vijana wenye uchungu na taifa hili, na si magenge ya wanaharakati walioungana na kujiita chama cha siasa,makundi ya watu walio shindwa maisha na kutaka kutudanganya watanzania kuwa wanauchungu. Miji yote waliyopewa wameshindwa na kuishia kuiba na kujinufaisha wenyewe,wanatupotosha kwa kutudanganya kwa maandamano na kuongea hovyo bungeni. Big up sana deya,jiamini na utashinda, leteni mabadiliko.
   
 17. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 874
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 60
  Kuchumia tumbo tatizo kubwa sana hasa vijana wa uvccm, kutumwa kupoteza muda.Ni vyema kukaa mwaome uvccmna nape wategeneze program sahihi ya ajira kwa vijana, ili kupunguza pengo la ajira kwa vijana hasa wa uvccm.kupewa visenti kkujiunga jf kuropoka bila hoja yenye uchambuzi maridhaw ni kujidhalilisha,pole sana jitahidi hata hii fani ya sisa watu husomea kapa political economy, political science kusudi mtu uwe mchambuzi.Nasikitika sana badala ya kuwatafutia ajira za kimsingi wanawapa samaki kuja kuropoka kwa kuvinywea viroba.Hoja ya mtu kushindwa uongozi, si hoja ya chadema bali ni mtu mwenyewe pamoja na madiwani kuridhia au kumtoa, tujiulize iluwaje mkampa kama hakuwa madhubuti?na pia si kosa kumwodoa kwa usitawi wa halmashauri au manispa.
   
 18. m

  mwafrika daima Member

  #18
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siasa hizo za kusomea ndizo siasa za kijinga zaidi duniani, na viongozi wote mashuhuri na waliofanikiwa hakuna hata mmoja aliyesomea siasa. Nape ni kichwa kimoja, na swala la wamuweke nani na wamtoe nani, ni swala la kijinga, chadema wameshindwa na wameprove failure. Swala la kutengeneza ajira ni swala la serekali kuu na chama, na si jumuiya. Nenda kanywe uji na ujifunze siasa na kuacha ushabiki mavi
   
 19. m

  mwafrika daima Member

  #19
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuiombee CDM, mwenyezi Mungu mwingi wa rehema aiepushe na mabalaa inayoyapata kama vile ubadhilifu alioufanya muheshimu miwa zitto kabwe na mafisi wenziwe kwenye taasisi nyeti ya taifa na fedha alizokimbia nazo mweshimu miwa mwingine dr. slaa kwa kukimbia na fedha za chama shilingi 140m. kama unadini itikia amina.
  لعل الله معاقبتهم ونقلهم الى الجحيم. آمين
   
 20. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Huyu sio mpya kasahau password. Kichwa yake huwa haina kumbukumbu kabisa.
   
Loading...