Ndugai atangaze Maslahi kwenye kusimamia maliasili na utalii Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugai atangaze Maslahi kwenye kusimamia maliasili na utalii Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiranja, Aug 10, 2012.

 1. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Job Ndugai ambaye ni Naibu Spika wa Bunge anasimamia mjadala wa wizara ya maliasili na utalii Bungeni na mjadala mkubwa umejikita kwenye Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro wakati huo huo yeye ni mjumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Ngorongoro haki itatendeka kweli?

  Mbona hajatangaza kuwa na mgogoro wa Kimaslahi kuhusu jambo hilo kama kanuni za Bunge zinavyotaka?

  Wabunge tumieni kanuni kumtaka huyu Naibu Spika atangaze la sivyo hana udhu wa kuweza kusimamia mjadala ambao na yeye ni mtuhumiwa , haswa iliposemwa kuwa wajumbe wa Bodi wanaenda Israel kwa siku tano na watatumia kiasi cha shilingi milioni 350, Ndugai atasimamia haki wakati yeye anahusika kweli?

  Nawasilisha , ila ni vyema wabunge wamtake na yeye kesho aseme la sivyo atakuwa anavunja kanuni zao wenyewe.
   
 2. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,109
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  Ndio maana CAG alipendekeza wabunge wasiwe wajumbe wa bodi za mashirika ya umma ili kuondoa mikanganyo ya maslahi binafsi lakini kwa tamaa zao na uvivu wa kufikiri bado wameendelea kuteuliwa
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Haiwezekani kabisa Naibu Spika aongoze kikao cha bunge kinachojadili taasisi/shirika ambalo yeye ni mjumbe wa board! Tena shirika lenyewe lina mambo mengi yenye kuzua maswali!
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,199
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ndio maana hajui Ana watoto wangapi kutokana na Mihela anayopata anahonga ovyo na kuzaa ovyo
   
 5. z

  zamlock JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  awafai ngorongoro
   
 6. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Hata Kamati ya zitto imepeendekeza kwa Muda mrefu wabunge wasiwe wajumbe wa bodi za mashirika nitawapeni orodha ya malipo ya ndugai pale ngorongoro na pia malipo ya Anna Malinda mwenyekiti wa bodi ya chai Tanzania, mtajiju
   
 7. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Pius Msekwa alipoulizwa kwamba kwa nini unakuwa mwenyekiti wa bodi ya kamopuni ya simu, na je suala la kampuni yako likiletwa bungeni si itakuwa biased.

  Akawajibu kwamba "mimi sina kura yangu mle bungeni"!!
   
 8. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  utatupa leo hiii hii au tungoje kama kesi ya Mramba na Yona??
   
 9. K

  Keagan Member

  #9
  Aug 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ndio pale aliposema watu wanaohoji wana wivu wa kike?
   
 10. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Alikuwa na hoja ya msingi.
   
Loading...