Wabunge ccm iringa waingiwa kiwewe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge ccm iringa waingiwa kiwewe!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Martoism, Aug 11, 2012.

 1. Martoism

  Martoism Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni saa chache tu zimepita tangu Mkt wa Taifa Chadema na Kiongozi wa upinzani Bungeni ambaye pia ni mbunge wa hai Mh, Freeman Mbowe kuutangazia uma wa watanzania kuwa atatua mkoani Iringa na makamanda wa vuguvugu la mabadiliko almaarufu "Movement for Change M4C" kuwatia nuru ya mapambazuko na mwangaza wa utajiri walioukalia kwa mda mrefu chini ya viongozi wa CCM akiwamo spika wa bunge Anna Makinda, Prof Msola, Lukuvi, Deo Sanga - ''Jaa people'' na wengine ambao kwa taarifa zanazozagaa mitaani wamejiapisha na kuwaagiza makatibu wa chama chao kuhakisha nguvu ya M4C inadhoofishwa hata kwa nguvu ya dola na ndumba ili waendele kutawala . Najua unaweza kujiuliza Iringa ina nini? kwa kifupi tu niwaambie Iringa ni mkoa wenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya tani laki milioni moja kwa mwaka , ina mbuga kubwa na ya pili barani Africa yaani Ruaha National Park, vivutio vya utali kama kalenga na isimila , mikunjo (ox-bow lakes) ya "The great Ruaha River unaotiririsha maji throughout a year, mazao ya misitu kutoka Sao hill forest , migodi mikubwa ya makaa ya mawe, kilimo cha chai kisichokuwa na mfano barani Africa, viwanda vikubwa east and centra Africa kama Mufindi paper mills na Chai bora lakini pamoja na utajiri wote huo bado Iringa ina harufu ya umaskini wa kutisha huku ikisifiwa kutoa mayaya wengi wanaofanya kazi miji na majiji mashuhuri kama Dar-es -Saalamu na kwingineko je mwanaJF mwenzangu M4C waje au Wasije Iringa?
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wale wa mtwara hawatakaa wasahau kile kipigo kilichowashukia
   
 3. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kuna Mtu anaitwa CHRIS LUKOSI, anajipanga kuja kuongeza nguvu ya chadema mkoa wa Iringa very soon!
  Watch this space !
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Plse PLSE jAMANI NAWAOMBENI M4C KAMA MPO MNASOMA HII THREAD MSIACHE KWENDA KWA HUYU JAMAA ANAITWA LUKUVI-ISIMANI JAMAA ANATETEA SANA MAFISADI WENZIE, NENDENI MKAPIGE HUKO NG'OENI MAGAMBA YOOOTE
   
 5. buhange

  buhange JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 494
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  M4C daima, wajeeeeeeeeeeh!
   
Loading...