Wakati CCM wako bize kukata utepe na kutalii, Dr. Slaa yuko bize kuhamasisha wananchi vijijini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati CCM wako bize kukata utepe na kutalii, Dr. Slaa yuko bize kuhamasisha wananchi vijijini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chilisosi, Aug 11, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  CCM 2015 wakipona basi tujue kuwa asilimia tisini ya watanzania hawakupiga kura.

  Kila mtanzania anajua kuwa ukienda ikulu kuwakuta wakuu wa kaya sio rahisi kwa sababu mmoja yuko bize na safari wakati mwengine kila kukicha anatafuta wapi kuna kasherehe akakate utepe.

  Wakati huo huo Makamanda wetu Dr slaa na Mbowe hawalali wanazunguka kijiji hadi kijiji kuwaamsha wanachi na kukiimarisha chama. Huu ni mtaji mzuri sana kwetu Chadema.

  Hebu jiulize kulikuwa na sababu gani MKULU kuhudhuria semina ya uzazi wa mpango? mie nadhani hii ni shughuli ya mabwana afya
   
 2. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  kamanda wa ardhi , wacha awaadabishe, ccm wanakosa ujasiri wa kufanya wanayofanya chadema
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  usiwaamshe waache wamalizie kipindi chao, binafsi nimeshawachoka hao wachumia tumbo.
   
 4. Azipa

  Azipa JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1,072
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Kwenye ile semina rais wa Burkina Faso Blaise Compaore aliwakilishwa na mke wake
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Watawaambia nini wananchi wakati waliahidi vitu kibao ambavyo havitekelezeki Kama ile kigoma kuwa Dubai ya Africa ahadi hiyo inatosha kukukimbiza hata nchi
   
 6. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Chilisosi angalia mwananchi uk wa 3 kuna picha pale uiweke hapa hii post yako ingekaa utamu sana!
   
 7. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndo kazi yake hiyo, so sioni cha ajabu hapo
   
 8. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Chilisosi angalia mwananchi uk wa 3 kuna picha pale uiweke hapa hii post yako ingekaa utamu sana!
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  washakufa zamani sana bado mazishi tuu
   
 10. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Sina hilo gazeti kaka, nimecheki kwenye mtandao sijaona kitu naomba uatach wewe huko kaka
   
Loading...