Mheshimiwa Lukuvi unaweza kweli kuvaa viatu vya Tundu Lissu?

Wild fauna

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
461
189
Katika uwasilishwaji wa bajeti ya kambi rasmi ya upinzani unaoendelea bungeni katika wizara ya maliasili na utalii,anasimama Mh lukuvi nakudai mchangaji msingwa anaichafua serikali ya ccm eti kada wao huko karatu ambaye ameshutumiwa kwa ujangili kuwa ni uongo.
Ndipo anaposimama Tundu lisu na kuhoji,lukuvi anasemaje kuwa kada wao hana hatia wakati hana hata vigezo vya kuthibitisha kauli ile kuwa its wrong?

Ndipo hapo najiuliza ni kweli Lukuvi anaweza kuvaa viatu vya mnadhimu wa kambi ya upinzani mh lisu?
I think hawa jamaa wakiwekwa kwenye mdahalo alafu kila mtu ajenge hoja,i'm sure lukuvi will totally fail.
 
Na ndiyo maana pamoja na ukada wake kwa magamba, angalau leo ameamua kuwa fair kwa kutomkingia kifua Lukuvi na kuamua kumpasha LIVE kuwa wanapokuwa bungeni ni lazima wavumiliane, na akamruhusu Msigwa aendelee na hotuba yake bila ya kufuta maneno kama alivyotakiwa na Lukuvi, hii nimeipenda sana kwa kuwa Lukuvi huyo huyo, huwa hasimami kutetea kanuni wakati wabunge wake wa CCM wanapowashambulia wapinzani! Hii sasa ni dalili tosha akina Ndugai weshaanza kusoma alama za nyakati, ni vyema sasa spika Makinda akaiga mfano wa leo wa Ndugai wa kutokubali kila upuuzi unosemwa na akina Lukuvi na wengine kama kina Werema, ambao wao wakati wote wanachoangalia ni kutetea maslahi ya chama chao cha magamba, badala ya kusimamia maslahi ya Taifa ambao ndiyo wajibu wao namba moja!!!!!!!!!!
 
Kwa kweli viatu vya Tunduli lissu ni vingine kabisa yaani level nyingine, haviwezi kuvaliwa na mtu mwepesi kama lukuvi.
 
Katika uwasilishwaji wa bajeti ya kambi rasmi ya upinzani unaoendelea bungeni katika wizara ya maliasili na utalii,anasimama Mh lukuvi nakudai mchangaji msingwa anaichafua serikali ya ccm eti kada wao huko karatu ambaye ameshutumiwa kwa ujangili kuwa ni uongo.
Ndipo anaposimama Tundu lisu na kuhoji,lukuvi anasemaje kuwa kada wao hana hatia wakati hana hata vigezo vya kuthibitisha kauli ile kuwa its wrong?

Ndipo hapo najiuliza ni kweli Lukuvi anaweza kuvaa viatu vya mnadhimu wa kambi ya upinzani mh lisu?

I think hawa jamaa wakiwekwa kwenye mdahalo alafu kila mtu ajenge hoja,i'm sure lukuvi will totally fail.

Vyake alivyoyaa kaviwekea mipamba mbele ili kujazia vitoshe na bado havimtoshi ataweza VIKUBWA ZAIDI???

TADHALI USIFIKIRIE GUTA KUBEBA MZIGO WA FUSO....
 
Lukuvi akiwaga pale mjengoni huwa naona kazi yake kubwa ni "SHOCK ABSOBER"
 
Katika uwasilishwaji wa bajeti ya kambi rasmi ya upinzani unaoendelea bungeni katika wizara ya maliasili na utalii,anasimama Mh lukuvi nakudai mchangaji msingwa anaichafua serikali ya ccm eti kada wao huko karatu ambaye ameshutumiwa kwa ujangili kuwa ni uongo.
Ndipo anaposimama Tundu lisu na kuhoji,lukuvi anasemaje kuwa kada wao hana hatia wakati hana hata vigezo vya kuthibitisha kauli ile kuwa its wrong?

Ndipo hapo najiuliza ni kweli Lukuvi anaweza kuvaa viatu vya mnadhimu wa kambi ya upinzani mh lisu?
I think hawa jamaa wakiwekwa kwenye mdahalo alafu kila mtu ajenge hoja,i'm sure lukuvi will totally fail.

Wakati Dr. Slaa anampigia kampeni TL kule Singida, alinukuliwa akidai kuwa watu wasiwe na hofu ya yeye kutokuwemo mjengoni kwani kwa kumwingiza TL watakuwa wameingiza 'representative' wake mzuri. Sasa naamini hili. CDM nao walijua kumfanya mnadhimu kwani tha guy has a sharp mind..... Ananikosha zaidi anavyowabana kina Ndugai kwa kanuni zao....Leo umemsikia alivyombana Ndugugani juu ya utaratibu wa utoaji wa Kauli za Serikali? Ndugugani akajikanyaga .....baada ya muda mrefu kweli...ati ooo matatizo ye wenzetu wa hansard! Shame on them. Nahisi wanatamani wampeleke Mabwepande....
 
jamani kudu mkudulie tunge mvua haina mkuduzi. . . . lukuv kuvaa viatu vya lisu ni sawa na kuikudua mvua.
 
Lukuvi siku zote ni mbabaishaji. Lukuvi ni hovyo,Lukuvi ni zero.

Yeye amekaa pale Bungeni kimtegomtego tu kila siku Mbunge wa upinzani akisimama kuchangia au kuwasilisha hoja basi utaona Lukuvi hatulii na anakuwa na kiherehere cha kudakia kila neno la Mbunge wa upinzani lenye kuikosoa serikali! Huwa anajisahau kabisa kwamba hiyo ndiyo kazi ya Bunge. Lukuvi yuko pale kuhakikisha serikali haikosolewi. Huu ni ujingaujinga wa Magamba.

Natilia shaka sana Elimu aliyonayo Lukuvi. Inaonekana ameungaunga tu na haijulikani hata kama alisoma Primary na Sekondari. Yaonekana aidha alitokea kwenye Ualimu wa U.P.E. akaingia Chuo cha Ualimu na baadaye kujiunga na Umoja wa Vijana na kupelekwa Urusi kusoma Siasa kama Kada wa TANU,basi!

Kwa hiyo kumlinganisha na TL ni kumwaibisha maana hana ubavu wa kuvaa viatu vya TL hata chembe. TL ni msomi na mwanasheria mahiri kabisa ambaye hata Rais Kiwete mwenyewe anamgwaya. Jana tu pale Bungeni kamtoa kamasi Pinda kuhusu swala la Ma-RC/DC wanaoingia Bungeni kama Wabunge na akamwambia Pinda awatimue maana wako pale Bungeni kinyume cha sheria na katiba!!!

Tunasubiri utekelezaji wa hoja ya TL maana hiyo ni kwa mujibu wa Katiba na Sheria.
 
Back
Top Bottom