Anachokifanya Docta Slaa sio fair

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,649
Jana nilipokuwa nikifuatilia harambee ya CHADEMA kupitia luninga kwanza nilianza kujiuliza maswali where is DR SLAA, baada ya muda ikatolewa taarifa kwamba yuko kwenye operation sangara huko mahenge, interior kabisa yaani ndani uko vijijini chini kabisa ambako umasikini na ujinga ndio utambulisho wa wakazi wake.

Mi nashangaa huko kaenda kufanya nini wakati inajurikana ndio ngome ya CCM,mi kwa kweli naona kama sio fair kwenda kwenye ngome za wengine, alafu why now? sababu inakuwa kama vile tuko kwenye uchaguzi vile. THIS IS TOO MUCH PRESSURE.
 
Yaani unapoona umetoa post yako alafu imekaa muda hamna aliejibu ujiulize mara mbili ulichokiandika. Hata kama hukuwa kabisa na cha kuanzishia post si ungeendelea kulala tu jumamosi leo?
 
Yaani unapoona umetoa post yako alafu imekaa muda hamna aliejibu ujiulize mara mbili ulichokiandika. Hata kama hukuwa kabisa na cha kuanzishia post si ungeendelea kulala tu jumamosi leo?

Ushauri mzuri sana. Inaonyesha sio mwanamapinduzi huyu. Alitaka wote wajirudike Dar ili iweje? Mh. Mbowe alitosha kabisa jana. Msidharau wa vijijini nako kuna watanzania sawa na walioko Dar na wanastahili kuhudumiwa na Katibu mkuu kama wa sehemu nyingine.

Mtoa mada lazima amevaa GAMBA gumu linaloweza yeyushwa na Conc. sulphuric acid tu
 
ndo hawa hawa wanaeneza kwamba cdm ni chama cha msimu, chama cha mjini! Leo wanakimbia kivuli.
 
Naona watu wote mmeshindwa kumwelewa mleta uzi, nimemsoma vizuri kwamba Dr Slaa sio fair anavyozidi kuwatia pressure magamba, anaingia mpaka kwenye vungu za vitanda vyao. Magamba hayapumui tena.
 
Jana nilipokuwa nikifuatilia harambee ya CHADEMA kupitia luninga kwanza nilianza kujiuliza maswali where is DR SLAA, baada ya muda ikatolewa taarifa kwamba yuko kwenye operation sangara huko mahenge, interior kabisa yaani ndani uko vijijini chini kabisa ambako umasikini na ujinga ndio utambulisho wa wakazi wake.

Mi nashangaa huko kaenda kufanya nini wakati inajurikana ndio ngome ya CCM,mi kwa kweli naona kama sio fair kwenda kwenye ngome za wengine, alafu why now? sababu inakuwa kama vile tuko kwenye uchaguzi vile. THIS IS TOO MUCH PRESSURE.

Utajiju! Hii ngoma ni mpaka Magogoni 2015. Mwenye wivu ajinyonge! He! he! he! heee!
 
wenye macho mawili wameshindwa kukuelewa ila sie wenye jicho la tatu tumekuelewa mkuu...safi sana kamanda HIKI NDICHO KILIO CHA MAGAMBA WENGI...........
 
Jana nilipokuwa nikifuatilia harambee ya CHADEMA kupitia luninga kwanza nilianza kujiuliza maswali where is DR SLAA, baada ya muda ikatolewa taarifa kwamba yuko kwenye operation sangara huko mahenge, interior kabisa yaani ndani uko vijijini chini kabisa ambako umasikini na ujinga ndio utambulisho wa wakazi wake.

Mi nashangaa huko kaenda kufanya nini wakati inajurikana ndio ngome ya CCM,mi kwa kweli naona kama sio fair kwenda kwenye ngome za wengine, alafu why now? sababu inakuwa kama vile tuko kwenye uchaguzi vile. THIS IS TOO MUCH PRESSURE.

I got your point
 
Yani mimisijamwelewa mtoa mada, sijui bado anaishi karne ya 17. Nimkumbushe tu kwamba chadema wanalenga hasa ile mikoa ambayo imekuwa ni ngome ya CCM na mkakati wao lazima waende kwenye mikoa mitano ambayo ni morogoro,dodoma,singida,manyara na mkoa mmoja nimeusahau.

Mjini watu tayari wameshaelewa nini maana ya vyama vingi,ila kijijini ndiko ambapo kuna tabu,maana watu huwa wanadangaywa kuwa wakati wa kupiga kura kama watampingia mgombea mbae sio wa CCM basi watamuona tu kwahiyo woga umetawala huko na ujinga bado mwingi.

Hivyo vuguvugu la mabadiliko M4C linalenga haswaa hao wa vijijini ambao bado hadi leo wanadanganyika kwa kanga na kofia. Yani kama wewe unaishi mjini na bado una mawazo ya kizamani namna hii ningekushauri urudi kijijini labda ndugu zako wa kijijini watakusaidia kuwa hata wao wameshajua nini maana ya vuguvugu la mabadiliko. Nakusikitikia sana,na unatia huruma,
 
mbona mnamshambulia mleta mada kawawekea kamtego kadogo tu mmeshindwa kumuelewa nini anamaanisha? Ukiwa gamba ndo unapaswa umshambulie.

Mkuu wa-TZ huwa hatuna ubunifu wa kugundua mitego!

Umeona jamaa wanavyomsakama mtoa mada eeeeh! Huyu jamaa yuko kinyume kwa maana nyingine anawazodoa wana mabwepande! Anawahurumia jinsi Operation Sangara isivyokamatika!!

Bandugu huyu ni mwenzetu tusimwue bure, yuko upande wetu!
 
Operesheni Sangara hivi sasa haipo Ulanga(Mahenge).Bali ni Wilaya ya Kilombero, juzi ilikuwa Tarafa ya Ifakara, jana Tarafa ya Mlimba na itaendelea tena katika Tarafa za MNGETA , MANG´ULA na KIDATU. N a bado Mtazisoma namba Mwaka huu.
 
Mkuu mleta thread tumekupata vizuri, ahsante kwa kuitumia fasihi vizuri kwani ujumbe umefika kwa walengwa.

Peoples.................. Power......
 
Wengine mtasema Mbowe ni mchawi. Jana kasema vipaumbele vya M4C 1,2,3 ni Education. if you solve the primary contradiction, the second contradiction will solve itself.
Mkuu mtoa mada hii naomba uichangie M4C ichukue nchi 2015 na kwenye mpango wetu wa elimu tutakuweka mwanzoni ili ukishapata elimu na upeo wako ambao ndo second contradiction yako nao utakua.
 
Back
Top Bottom