Tanzania ina nguvu kubwa ya jeshi kusini mwa Africa

MWANA WA UFALME

JF-Expert Member
Sep 10, 2010
578
144
BALANCE OF MILITARY POWER IN AFRICA

BALANCE OF MILITARY POWER IN AFRICA
African CountryActive TroopsReserveParamilitaryTotal Troops
Egypt4500002540004050001109000
Eritrea2020002500000452000
Morocco19630015000013500359800
Algeria12750015000060000337500
Sudan104500095000199500
Ethiopia18250000182500
Nigeria78500082000160500
Libya76000400003000119000
Tanzania27000800001400108400
Angola100000--100000a
DRC838000140085200
Rwanda6100001000071000
Uganda600000180061800
South Africa55750--55750
Zimbabwe3200002180053800
Burkina Faso600045000180052800
Tunisia3500001200047000
Burundi400000550045500
Chad303500450034850
Cameroon231000900032100
Kenya241200500029120
Côte d'Ivoire170500700024050
Zambia216000140023000
Madagascar135000810021600
Mauritania15750-450020250
Guinea97000960019300
Senegal94000580015200
Namibia90000600015000
Sierra Leone130000013000
Liberia130000013000
Mali73500480012150
Republic of the Congo100000200012000
Djibouti98500140011250
Guinea-Bissau92500200011250
Niger53000540010700
Botswana90000150010500
Togo9450075010200
Mozambique100000010000
Benin4550030007550
Ghana7000007000
Malawi5300015006800
Gabon4700015006200
Equatorial Guinea1320020003320
Central Afr Republic1400010002400
Lesotho2000002000
Cape Verde1200001200
Gambia80000800
Seychelles4500250700

attachment.php


Source: http://www.nationmaster.com/compare/Malawi/Tanzania/Military
 

Attachments

  • uwezo-jeshi.jpg
    uwezo-jeshi.jpg
    87.5 KB · Views: 13,917
Naamini malawi watajua hili kama watalianzisha game.... hata hivyo vita si jambo jema... tushirikiane kuepusha vita hii.
 
nguvu ya idadi ya wanajeshi ila kwa mujibu wa taarifa ni kuwa kenya ndio wenye most morden army in east &central afrika
 
BALANCE OF MILITARY POWER IN AFRICA
African CountryActive TroopsReserveParamilitaryTotal Troops
Egypt4500002540004050001109000
Eritrea2020002500000452000
Morocco19630015000013500359800
Algeria12750015000060000337500
Sudan104500095000199500
Ethiopia18250000182500
Nigeria78500082000160500
Libya76000400003000119000
Tanzania27000800001400108400
Angola100000--100000a
DRC838000140085200
Rwanda6100001000071000
Uganda600000180061800
South Africa55750--55750
Zimbabwe3200002180053800
Burkina Faso600045000180052800
Tunisia3500001200047000
Burundi400000550045500
Chad303500450034850
Cameroon231000900032100
Kenya241200500029120
Côte d'Ivoire170500700024050
Zambia216000140023000
Madagascar135000810021600
Mauritania15750-450020250
Guinea97000960019300
Senegal94000580015200
Namibia90000600015000
Sierra Leone130000013000
Liberia130000013000
Mali73500480012150
Republic of the Congo100000200012000
Djibouti98500140011250
Guinea-Bissau92500200011250
Niger53000540010700
Botswana90000150010500
Togo9450075010200
Mozambique100000010000
Benin4550030007550
Ghana7000007000
Malawi5300015006800
Gabon4700015006200
Equatorial Guinea1320020003320
Central Afr Republic1400010002400
Lesotho2000002000
Cape Verde1200001200
Gambia80000800
Seychelles4500250700

Tanzania vs Malawi
108400 6800

Ratio ni 1:16
 
Nguvu inakuwa determined na idadi wa wanajeshi ama?

Ni mambo kadhaa ikiwemo:-

1. idadi ya wanajeshi,
2. vifaa vya kijeshi,
3. ujuzi na maarifa,
4. uzalendo wa wanajeshi na raia wake hasa katika kujitolea vifaa vya kulisaidia jeshi kama vile mabasi ya kuwasafirisha wananjeshi kwenda uwanja wa mapambano.,
5 kujua nguvu ya adui ..nk.
 
Ni mambo kadhaa ikiwemo:-

1. idadi ya wanajeshi,
2. vifaa vya kijeshi,
3. ujuzi na maarifa,
4. uzalendo wa raia wake hasa katika kujitolea vifaa vya kulisaidia jeshi kama vile mabasi ya kuwasafirisha wananjeshi kwenda uwanja wa mapambano.,
5 kujua nguvu ya adui ..nk.

Kwenye hilo jedwali hapo juu kuna idadi tu ya watu waliomo jeshini.
 
Ni combination ya vitu viwili i.e. idadi ya watu na vifaa, but in comparison na nchi nyingi za africa, vifaa bado vina rank almost the same. (Balistics and nukes, hizo hazipo)
 
Nguvu inakuwa determined na idadi wa wanajeshi ama?


Idadi ya wanajeshi na uwezo wa kijeshi ni vitu viwili tofauti. Angalia SA ni yangapi chini ya TZ lakini Military capability yao ni kubwa hata mara 10 ya TZ. Je apart from idadi ya wanajeshi vp status ya utaalam na teknolojia ya kivita na vifaa vya Kijeshi kati ya Tanzania na Malawi?
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Vita ni zaidi ya idadi ya wanajeshi, kuhusu ujuzi sina shaka kwani hata SA hua wanakuja ktk chuo chetu kubadilishana ujuzi. Tatizo ni vifaa vyetu sina uhakika navyo.
 
Ina maana ndo tunaelekea kwenye mpambano!?

Hali ya hewa ya JF imekaa kivita vita toka sakata hili la "Ziwa Nyasa " lianze.
 
mkuu hichi ni kigezo cha mgambo tu waliopo! tushushie military spending

Millitary spending ya Tz sio kubwa sana (around 0.2% YA GDP (ipo around 64.7 billion dollars)= about $129 million), ya mlw ni 1.3% ya GDP (about 14 billion dollars)= ni kama about $192 million hivi). But inabidi ujue hiyo expenditure ni ya vitu gani, which is more relevant question.
 
Back
Top Bottom