Ndani ya karne ya 21 bado tunahubiri sera za chama zenye vitisho.

Falcon

JF-Expert Member
Aug 16, 2010
245
68
Nimefatilia kwa karibu matamshi ya Viongozi wa chama kimoja hapa Tanzania wanpotowa matamshi ya vitisho kwa kisingizio eti sera za chama ,chakushangaza sera hiyo huelezwa pale inapotokea kulinda wazifa wa watu fulani,hali hiyo ikanipelekea nifuatilie hotuba za aliyekuwa kiongozi mwenye Nguvu na wafuwasi wengi ambao hadi sasa hakuna chama chochote katika Dunia kilichoweza kumfikia kwa wafuwasi, mara kwa ra speech zake zilikuwa na vitisho na kuwaweka watu kwenye hofu na inapobidi mauwaji na mateso hutumika ilimradi tu andeleze propaganda zake za chuki zidi ya Raia wengine au wale ambao hawamungi mkono kwa njia moja au nyingine hali kama hiyo tumeanza kuishuhudia hapa Tanzania na sasa ndio imepamba kasi.
This is National Socialism! [Originally Uploaded by THELINDGRENN] - YouTube
 
Yaani sijakuelewa unamaana gani au point yako iko wapi, HEBU KUWA MUWAZI.
Hapa ni JF WHERE WE DARE TO TALK OPENLY.
 
Back
Top Bottom