Lema kaonesha tofauti kubwa sana katika hili

skendo

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
212
101
Nimefatilia jana katika M4C Dar Lema akawa anasema alipokua London ameweza kufanikisha hupatikanaji wa gari 4. Sasa nikajiuliza kama Lema ameweza kwenda Londoni na amefanikiwa kuchangiwa gari 4 tena na watanzania wenzetu ina maana Lema ameonesha tofauti kubwa sana na wale wanao zunguka nje ya nchi kuombaomba na mwisho wa siku wanakua wametutia haibu bila maana wakati kwa Lema ameweza omba kwa watanzania wenzetu na si wazungu tafsiri ndogo nikua kama CDM ingekua madarakani leo hii tungeweza sema Lema amefanikiwa kupata nissan 4 toka kwa watanzania wenzetu ambazo zitatumika hosptal nk. Kumbe hata zile net tungeweza changiwa tu na watanzania waliopo marekani, uk na kwengineko bila wazungu.

BIG UP LEMA
 
Nathibitisha hili;
Ni nissan navara adventura double cab nne ambazo zimetolewa na Chadema tawi la london.
zitaondoka na meli ya mwisho wa mwezi kwenda kuanza kazi bongo. Wakati wengine wanatembea na mikasi mfukoni tayari kwa kukata utepe, na wengine kutembea na masanduku yao tayari kwa safari sisi tunafanya kweli hadi vijijini.
M4C mpaka kieleweke
 
Nimeipenda hiyo ya kutembea na mikasi mfukoni...
 
Mi nimeipenda hiyo ya kutembea na mabag kwani kama ya kikwete sidhani kama inashushwa kwenye ndege kila siku safari
 
Amethibitisha kwamba CHADEMA wanauwezo wa kutumobilize watanzania kufanya mabadiriko katika nchi yetu wenyewe bila kuzungusha bakuli kwa watu baki.
 
Sound like walibya nilinagalia documentary za ile movemenet iliyomuondoka kamali ghaddafi, mamabo yalikuwa hivyo hivyo, Diaspora walikuwa wakijenga strong link nyumbani, walijitolea michango na magari(wakitanguliza ambulance+madawa, na huku wakiwekeza hela ili baadaye waanze zitumia nunulia silaha +kulipa vijan a posho za kuachia familia),kipindi hicho ghaddafi alikuwa busy eti akitaka kupata usuluhishi kwa nchi za Jirani(egypt+tunisia) na issue za palestina.Hawa walibya waliokuwa nje walikuwa wameandaa logistic nzuri sana na back centers katika nchi jirani.Lilipolia parapanda mambo yalikwenda too fast.

Najua CDM hawatatumia mtutu ila ikilia ile anthem "Peoples Power" kwa kipindi watu wamehamasikabasi siku hiyo hiyo patakuwa na disco nchi nzima.Kwani CCM watakuwa katika hofu kubwa kwani hata wana ccm, achilia mbali watu wa usalama watasema wazi kauli za kuwatisha CCM. Statements kama raia walindwe wakati CCM wakitegemea mabomu yatumike,zikitolewa na watu muhimu ni wazi CCM watavunjika moyo kabisa.Achilia mbali watakaokimbilia India kutibia kijanja ili kusikilizia kama upepo umekaaje kabla ya kutangaza kuwa wame defect.

Soon Tanzania itaanza kuwa hivyo na nina mashaka na hao jamaa wa idara mbalimbali za usalama, kwani huwa hawachelewi switch side.

M4C sio ni balaa kwa si tuu kwa uahai wa CCM bali hata kwa mzoga wake.
 
Lema Jembe... nadhani wakati huu akiwa nje ya mjengo angeenda kuongeza elimu ingine.. awe fit zaidi kwa mitizamo na maoni
 
Nathibitisha hili;
Ni nissan navara adventura double cab nne ambazo zimetolewa na Chadema tawi la london.
zitaondoka na meli ya mwisho wa mwezi kwenda kuanza kazi bongo. Wakati wengine wanatembea na mikasi mfukoni tayari kwa kukata utepe, na wengine kutembea na masanduku yao tayari kwa safari sisi tunafanya kweli hadi vijijini.
M4C mpaka kieleweke

Nimeipenda hiyo ya kutembea na mikasi mfukoni...

Hata mimi.
Kwamba CCM na mikakati yao ya kuiba kura washabweteka kwamba urais ni wao.

Kiukweli hata mimi nawasifu CHADEMA wamekuwa pamoja na wananchi mara zote tofauti na vyama vingine ambavyo vinasubiri wakati wa uchaguzi tu
 
mbaya zaidi aliposema alivaa t-shirt ya ccm ili kuwaonesha ccm kwamba cdm inawavaa ccm kotekote ndani na nnje ya nchi.kweli wa takao mwelewa lema ni wachache sana kwa sasa
 
Makamanda mbona tumemwelewa vema Lema. Ila Nape hadi atunge wimbo wa kukremishia kama vile "HALO HELENA LILE BEBERU BORA CHINJA NA ONDOA FIGO NENE...conti..."
mbaya zaidi aliposema alivaa t-shirt ya ccm ili kuwaonesha ccm kwamba cdm inawavaa ccm kotekote ndani na nnje ya nchi.kweli wa takao mwelewa lema ni wachache sana kwa sasa
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom