Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baadhi ya wagonjwa wa saratani waliolazwa katika hospitali ya Ocean road jijini Dar es salaam wamelalamikia ukosefu wa vifaa vya matibabu katika hospitali hiyo huku wakiitaka serikali kufanya...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wana JF ninapatwa na kigugumizi, hukumu ya kesi ya uchaguzi IGUNGA iliyopangwa tarehe 20 August 2012, mbona tarehe hiyo itakuwa siku ya IDD? au vipi mimi nilinukuu visivyo? Anayeelewa anijuze na...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Lema apinga kuvuliwa ubunge kwa hoja 42 Peter Saramba, Arusha MAJAJI watatu wa Mahakama ya Rufaa, Natalia Kimaro, Mbarouk Salim Mbarouk na Salum Masati Septemba 20,mwaka huu...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Bunge limeahilishwa lakini kuna michango ya kukumbukwa. Angalia Mchango huu wa mh. Msigwa. Courtesy of Mwanakijiji
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiwasili kwenye Uwanja wa Kwa Mbombe katika kijiji cha Madizini...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
mwenyekiti wa bodi ya usamamizi wa hospitali ya rufaa KCMC Dr alex malasusa amekiri hospitali hiyo kuathiriwa na mgomo wa madaktari. Huduma kwa wagonjwa hasa wale wa nje imeathirika zaidi na hili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendendeleo (Chadema), kimevunja mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Elius Tarimo baada ya mikutano hiyo kugongana, huku wa mkuu wa wilaya ukilazimika kuvunjika...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni lini Uganda italipa fidia ya vita vya Kagera pamoja na mahusiano mabaya kati ya Tanzania na Uganda kwenye miaka ya mwanzoni ya 70 hasa baada ya Tanzania kuamua kumpa hifadhi ya kisiasa rais...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
By Nyasa Times Reporter August 18, 2012 · 4 Comments Tanzanian President Jakaya Kikwete has categorically denied reports that his country is preparing to go to war with its neighbour...
0 Reactions
161 Replies
13K Views
katika watu wanaoendelea kusaini petition, watanzania ni wachache ama hakuna. Watanzania tupo kimya kabisa, waoga, sijui kwa nini uoga wetu ndo unaompa Mr. Dhaifu ujasiri. Ofcourse Mr Dhaifu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeshindwa kuelewa kelele na mbwembwe za muasisi mahsusi wa adc mbunge wa wai kupitia mahakama mh.hamad rashid zimeishia wapi kwani kwa sasa simsikii tena akiitaja adc wala akijaribu kuwasaodoa...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Mh. Seleman Zedi ambaye ameiongoza kamati ya kudumu ya Nishati na madini, alipewa mbuzi ndani ya gunia na mwenyekiti aliyepita (Siwezi kutaja jina kwa maana inasemekana ana hisa kwenye hii forum...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tafakari kwa kina suala hli, Maendeleo ktk nchi yoyote ile hujengwa ktk misingi mikuu minne. (1) Watu (2) Aridhi (3) Siasa safi (4) Uongozi bora Sasa kwa nini nchi nyingi hazina uchumi madhubuti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hahahahahaaaa! Nimeipenda hii toka kwenye wall ya Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye.
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Na Ashton Balaigwa 20th August 2012 Wananchi wa kata ya Hembeti Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro, juzi walizua kizazaa baada kuzuia gari la Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Zanzibar President, Dr Ali Mohamed Shein Zanzibar President Dr Ali Mohamed Shein yesterday warned Islamic Revival Forum ‘Uamsho’ against breach of the peace and tranquility, saying the...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
JUMATATU, AGOSTI 20, 2012 07:45 NA BAKARI KIMWANGA, DAR ES SALAAM *Awataka wapuuze ghiliba hizo *Asisitiza Sensa si ya dini bali maendeleo MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, amewataka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salam kwa members wote. It has been six years now since Jamii Forums was launched, and since its very inception it has been a controversial forum. There were numerous rumors as to who were behind...
45 Reactions
139 Replies
15K Views
Fikiri kabla ya kutenda. Nidhairi kuwa viongozi wetu wana ufinyu wa fikra, ili jambo haliingii akilini na linasikitisha sana kuwa na viongozi kama hawa. Inakuwaje? Ikulu tuna muuzia Marekani...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita amesema kama siyo busara za Rais Jakaya Kikwete kukiongoza chama hicho, tayari kingekuwa kimesambaratika. Pia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom