Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanaukombozi hapa pamekaaje maana katika wilaya hizi mkoani kilimanjaro zimekua ni ngome ya ccm kwa miaka mingi na bado ni masikini, je nini kifanyike kuwakomboa watu hawa wakae mkao wa kimabadiliko?
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Mtatiro tuambie na huyu umeshamfukuza siku nyingi. Cuf imeshakufa tungoje mazishi yake.
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Mbele ya Jakaya Kikwete, Joyce Banda alitamka kwamba Ziwa Malawi ni la Malawi kwa asilimia 100. JK akatamka kwamba hajawahi kufikiri au kusogeza jeshi na yeye ndiye amiri jeshi mkuu. JK hata...
3 Reactions
79 Replies
6K Views
Meles Zenawi, who ruled Ethiopia for more than 20 years, has died while undergoing treatment for an undisclosed illness, according to Ethiopian state television. It announced on Tuesday that the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kurejea toka Afrika kusini alikokuwa anatibiwa baada ya kufanyiwa unyama na watu wa TISS,Ulimboka anataka kufanya kile waingereza wanachoamini kuwa ni sawa na Grave mistake. Niliwahi...
10 Reactions
62 Replies
7K Views
Kama sikosei Campain Manager wa chaguzi ndogo za Majimbo ya Meru na Igunga kwa chama cha mapinduzi alikuwa Mchumi Nambari wanu wa Dunia Bw. Mwigulu Mchemba. Je, kwa hali ilivyotokea katika majimbo...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Kama siku ningekuja kuwa na mamlaka makuu ningependekeza kufutwa kabisa kwa mfumo huu wa siasa unaoitwa demokrasia na badala yake kazi checks na balance ningepeleka mahakamani na vyombo vya siri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbunge wa Igunga aliyeingia kwa uchaguzi mdogo uliofanyika mwaka jana Dr. Dalaly Kafumu imeelezwa kuwa amekalia kuti kavu baada ya makamanda kadhaa wa Chadema kufungua kesi ya kupinga ushindi...
7 Reactions
42 Replies
6K Views
M4C imeisambaratisha kabisa ccm hapa moro baada ya kuvuna wanachama zaidi ya elfu 30 na zaidi ya wengine elfu 7 kurudisha kadi za vyama vingine kadi na wakati huohuo wananchi katika majimbo hayo 6...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimeandika barua ya wazi kwa Dr Mwakyembe kuhusiana na tatizo la ajali za mabasi ambazo zimekuwa ni baa la taifa (national calamity). Natarajia barua hii kutoka kesho kwenye Tanzania Daima. Msingi...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Kabla muda wako wa kuishi hapa duniani haujaisha hakikisha umeitendea japo jambo moja la kukumbukwa nchi yako. Ni muda sasa wa kuikomboa na kuijenga nchi yetu na kuleta matumaini mapya ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa nikufuatilia mwenendo wa cdm hasa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 , nilichogundua ni kwamba hiki chama kimekuwa kinatumia njia mbali mbali ili kuwahadaa watanzania kuwa...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Kafumu ni chali na chini. Hoi CCM na CDM hoyee! Najiuliza jinsi mahakama zinavyofanya kazi. Baada ya uchaguzi wa 2010, kesi zilizofunguliwa ni zaidi ya 100! Hii kesi ya Kafumu ni baada ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jf tukumbuke PM majibu yake kwa mbunge wa ilemela kuhusu DC wao kutumia u-DC kwa maslahi ya chama(ccm)wakati analipwa kwa kodi za wananchi,je ww unashauri nn hapa jamvini ili kujenga taifa...
0 Reactions
1 Replies
878 Views
  • Closed
Lema kavuliwa ubunge rasmi... Hii ni taarifa rasmi toka hapa mahakamani! Baada ya mahakama ya Arusha kumvua ubunge aliyekuwa mbunge wa Arusha mh Lema, pia mahakama imemwambia sheria inamruhusu...
29 Reactions
2K Replies
125K Views
Dada yetu Rachel salaam Yawezekana hujajitambua kuwa wakazi wa shinyanga wanahitaji service yako kama mbunge kwa kipindi kijacho 2015-2020.Wakazi wametafakari na kugundua kipaji chako na umakini...
0 Reactions
59 Replies
7K Views
SEVEN major Brazilian companies dealing with agriculture have shown interest to invest in the country. This was said by the Acting Executive Director of Tanzania Investment Centre (TIC), Mr...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Napenda kutoa rai yangu kwa SECRETARIAT KUU ya CCM ichukue hatua juu ya maazimio ya kujivua gamba yaliyoafikiwa mwezi wa sita! Nyinyi ni watendaji wakuu ndani ya chama ambao mnatakiwa muwe...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
NA MWANDISHI WETU CCM imesema imesikitishwa na iliouita usanii mkubwa unaofanywa na Chadema, kuwahadaa Watanzania kwa kufanya harambee kwa lengo la kuhalalisha mabilioni ya chama hicho...
20 Reactions
733 Replies
50K Views
Chadema bunge limeisha sasa,,majembe yetu mlioko bungeni tunawategemea kujiunga na jeshi la m4c...2015 tunayahitaji majimo yanayoongozwa na: 1.kayanza Pinda 2.Lukuvi. 3Wasira 4.Anne Makinda...
1 Reactions
79 Replies
6K Views
Back
Top Bottom