JF Focus: Interview with Maxence Melo

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,580
5,371
Salam kwa members wote.

It has been six years now since Jamii Forums was launched, and since its very inception it has been a controversial forum. There were numerous rumors as to who were behind its creation and the intentions of its founders vis a vis the Tanzanian politics.

Today JamiiForums is believed to be the largest East African Forum, with more than 87,000 members (and counting) and its growth in Tanzania is faster than international social media like facebook or twitter. We can see members interacting under different type of membership, we read articles from Fikra Pevu, we have seen a Kenyan Forum and all these indicate a new direction for Jamii forums.

Given the alleged influence it had on the 2010 elections and the role it is currently playing in shaping he public opinion, several questions come to some of us: Who is Maxence Melo? who else could be behind Jamii Forums? What was the idea behind the creation of Jamii Forums? How is Jamii Forums positioning itself in the Tanzanian Political, economic and social sphere etc.

On Friday the 17th, at 11:00 AM east African Time (Saa tano asubuhi kamili saa za Africa Mashariki) we invite Jamii Forum Founder and owner, Maxence Melo, to respond to some of these questions. The interview will be conducted by King'asti, a long time JF member whom we believe has the necessary impartiality and perspicacity to ask Maxence pertinent questions that will enlighten our lanterns.

We welcome all questions from members and with Maxence permission we also welcome some suggestions on how to improve on Jamii Forum presence in the Tanzanian, Kenyan and eventually East African Community Political life.

We hope to have all Jamii Forums members online that day.

Karibuni

Roulette

Updates:
  • As we ask questions, please let's make sure that we do not repeat questions he answered during his interview with Bongo Celebrity (the interview can be found here)
  • As per Maxence, King'asti and some JF members request, the interview is rescheduled to Saturday the 18th, same place (Great thinkers forum) same time (11:00 AM, EAT)
  • Due to reasons beyond his control, Maxence has requested that the interview starts at 12:00 EAT.
 
Kwanza nitoe pongezi kwake Maxence Melo na Co-Founder Mike Mckee pamoja na wale wote Mods inclusive kwa kuwezesha na kuendeleza Jamii Forum. Ningependa kuwakilisha swali langu:-

Jamii Forums is one of the fastest growing network in Tanzania and I think it safe to say in East Africa too (Kenyan included part in the Forum evidently hints to that). Nauliza swali on the basis ya matatizo ya maintenance yaliyotokea mwezi wa 5/6 kama sikosei... ambapo mlisema yatakaa kwa muda mfupi ila mwishowe yalikaa kwa muda zaidi ya matarajio... Mmejipanga vipi for elections za 2015?

Ikiwa wazi kabisa kuwa wakati huo wa uchaguzi kuna uwezekano mkubwa wa members kuongezeka na pia traffic kuwa kubwa.
 
Ni jambo zuri sana Bw. Melo kutujuza nia na madhumuni ya kuanzisha JF na pia ndoto/mategemeo yake hapo baadaye, anataka mtandao huu ufanikishe nini kwa jamii. Wengi wameingia kichwa kichwa humu JF na kutoa mawazo mengi ambayo huenda mwanzilishi hakuwa na lengo kama hilo. Wengine wameigeuza JF kama FB!
 
We have seen controversial bans to members.Does he believe that the process is against Freedom of speech?And what is his opinions enforcing freedom of speech in the JF
 
Kwanza nitoe pongezi kwake Maxence Melo na Co-Founder Mike Mckee pamoja na wale wote Mods inclusive kwa kuwezesha na kuendeleza Jamii Forum. Ningependa kuwakilisha swali langu:-

Jamii Forums is one of the fastest growing network in Tanzania and I think it safe to say in East Africa too (Kenyan included part in the Forum evidently hints to that). Nauliza swali on the basis ya matatizo ya maintenance yaliyotokea mwezi wa 5/6 kama sikosei... ambapo mlisema yatakaa kwa muda mfupi ila mwishowe yalikaa kwa muda zaidi ya matarajio... Mmejipanga vipi for elections za 2015?

Ikiwa wazi kabisa kuwa wakati huo wa uchaguzi kuna uwezekano mkubwa wa members kuongezeka na pia traffic kuwa kubwa.

Asante kwa pongezi na kwa suali lako makini.
 
We have seen controversial bans to members.Does he believe that the process is against Freedom of speech?And what is his opinions enforcing freedom of speech in the JF

Asante kwa suali hili, limekaa vizuri sana.
 
Kwamba JF ni top kwa hapa East Africa ni jambo lisilo na ubishi.....good enough, ukilinganisha na other East African Forums, hapo utakuta JF ipo far, far away from her rivals! For instance, wakati JF ipo nafasi ya 12,794 ( as per Alexa World Traffic Rank), Mashada.com from Kenya ambayo ni one of the most popular forum in Kenya, inashikilia nafasi ya 142,935 !!!! Ikumbukwe kuwa, Mashada Forums ipo online since 1999 na ni among the oldest African Forums....pamoja na yote hayo, lakini JF is far away kutoka ilipo Mashada!! Apart from Mashada, kuna Kenya List ambayo nayo ni very popular nchini Kenya. Pamoja na yote hayo, Kenya List inashika nafasi ya 52,276 .

Kutokana na yote hayo, JF inastahili pongezi za hali ya juu.....na pongezi za pekee ziende kwa mkuu
Maxence Melo na timu mzima ya JF! Likewise, pongezi za pekee ziende kwa Watanzania....hii inaonesha wazi kwamba Watanzania tu​ watumiaji wakubwa wa forums/mtandao otherwise, as far as JF is purely Swahili Forum, basi pasi na silika hii ya Watanzania basi huenda JF isingekuwa hapa!

Welldone y'all !
 
mimi napenda kutoa pongezi kwa uongozi mzima wa jf.jf ni forum inayopunguza hasira za wazalendo wa kitanzania vinginevyo watu hawa wangekuwa msituni.
Swali kwa Melo ni moja tu...je anajilinda vipi dhidi ya watekaji kama wale wa ulimboka?
 
Shukrani kwa wazo hili. Swali langu ni moja ambalo hata leo naweza pata jibu lake kwako, je nawezaje kutumia jina langu kamili badala ya hili la sasa maana mwanzoni nilifikri unatakiwa kutumia jina la kificho. Lakini kila kitu kinabaki kama ilivyo isipokuwa jina na pia kuongeza email yangu ya yahoo ambayo mara nyingi huwa natumia sana kulikoya gmail. Ahsante sana
 
Asante sana mkuu, pongezi lako limemfikia Mkuu Maxence pamoja na team nzima tukiwemo sisi moderators. Mashada na Jamii Forums zinajibu mahitaji tofauti ya members wao, labda suali hili linaweza kua nzuri kwa mgeni wetu wa Ijumaa: Ni siri gani inayo peleka JF kua na mafaanikio makubwa kuliko forums zingine mtandaoni?
 
mimi napenda kutoa pongezi kwa uongozi mzima wa jf.jf ni forum inayopunguza hasira za wazalendo wa kitanzania vinginevyo watu hawa wangekuwa msituni.
Swali kwa Melo ni moja tu...je anajilinda vipi dhidi ya watekaji kama wale wa ulimboka?

Good question. Suala la usalama wa JF Owner, bila shaka limerekodiwa, na likichaguliwa litajibiwa hapa hapa.
 
Shukrani kwa wazo hili. Swali langu ni moja ambalo hata leo naweza pata jibu lake kwako, je nawezaje kutumia jina langu kamili badala ya hili la sasa maana mwanzoni nilifikri unatakiwa kutumia jina la kificho. Lakini kila kitu kinabaki kama ilivyo isipokuwa jina na pia kuongeza email yangu ya yahoo ambayo mara nyingi huwa natumia sana kulikoya gmail. Ahsante sana

Mwandikie mkuu Invisible atakupa utaratibu wote wakupewa status ya VERIFIED USER.
 
Last edited by a moderator:
45 Reactions
Reply
Back
Top Bottom